Huyu kijana ndoo uvaaji wake,hata mzee Mengi alikuwa anajua,
Kupitia interview moja akiwa msibani niliskia anasema,
Kuna kipindi akiwa anafanya kazi ITV mzee mengi alimwita akamwambia
"Acha kavaa mashati makubwa"
Ndugu huenda humfahamu vizuri unaemlaumu,huenda hujui haiba yake katika uvaaji mavazi.
Mara nyingi hivyo ndivyo anavyovaaga na hapo kwakwe yeye kapendeza kiasi cha kufaa kwenda nazo msibani.
Millard sio mvaaji wa Suti,
Mara ya mwisho kuvaa suti nimeona alivaa kipindi anafanya interview na ommy dimpoz wakati ule anaumwa koo.
Naomba unitafutie picha 10 za huyu kijana akiwa kavaa suti tofautitofauti,zawadi nono utapatiwa.
Kazi njema,
Acha kulaumu kabla hujafanya utafiti.