Tutakaofika kesho kanisani kwa mchungaji GWAJIMA tukutane hapa

tongelao

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
777
2,131
Wakuu Kama ilivyo Ada kesho mwamba Yule Yule gwajiboy au mchungaji gwajima atakuwa na misa yake pale maeneo ya ubungo katika kanisa LA ufufuo na uzima.

Na kesho kutokana na habari za ndaniii Sana zinasema baba mchungaji anaenda kuweka wazi Yule director Wa movies yake Ni nani japo tayari wanyapiaji tunajua huyo director Ni bashiteboy, lakin baba mchungaji ataenda kutueleza vizuri waigizaji walikuwa akina nani, wamelipwa shilingi ngapi na kwanini wameamua kucheza na kwanini bashiteboy amefanya ivoooo...
Na kubwa zaidi Ni pale atakapo ingiza kokoto na kutoka vumbi..... Heheheheee namaanisha bashite boy kesho anaenda kuchambuliwa Kama karanga na mwisho zaidi kwenye hii show hatakuwapo baba mchungaji pekeyake Bali kuna winga mwingine ambaye Ni askofu kakobe naye atakuwepo kwenye hii show ya kumkatakata bashite boy.
Usingoje kusimuliwa kesho wahi kufika na vifaa vyako vyote vya kurekodia show hiyo.

Vifaa vya kubeba kesho nikama ifuatavyo.
.simu mbili smartphone full charge
.powerbank mbili.
Vingine unaweza kuongeza hapo chini.
 
Baada ya huu mtanange wa kesho kanisani kwa Gwajima lazima Askofu Kakobe ajiandae kuthibitisha uraia wake na uhalali wa kanisa lake. Ikiwemo kuonesha pasi na shaka rekodi zake za ulipaji kodi TRA. Vinginevyo atapewa uraia wa Burundi pamoja na kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kosa la ukwepaji kodi kwa miaka 20 iliyopita na hivyo JMT italazimika kumfilisi.
 
msisahau kwenda na ile video ili mkaoanishe ni ....baunsa..... au ..ni yeye???
 
Ufafanuzi wa video mbaya za askofu Josephat kutoka kwa Familia!

Ndugu wanahabari, Ndugu waumini na watanzania wote kwa ujumla! Habari za leo!

Familia ya Askofu josephat Gwajima inasikitishea na video zinazozunguka mitandaoni zikimuonesha Askofu akifanya matendo ya kishetani! Hii si sawa kabisa na sisi kama familia tumefedheheka sana!

Mimi kama msemaji wa familia ya askofu josephat naomba nianze ufafanuzi wa jambo hili kwa kuwakumbusha kitu kinachoendelea kwenye jamii!

Nyie mtakuwa mashahidi, kuwa kwa sasa kumekuwa na matapeli wengi mtaani ambao ukiwapa nafasi ya kuzungumza nao, wao hukuchukua akili na unaweza kujikuta unafuata kila wanachotaka. kuna watu wameibiwa hela na kuna wengine wakatoa kadi za benki na password zao na kuna wengine wakaenda mpaka nyumbani kukusanya kila kitu na kuwapa mashetani hao. Matukio haya ni mengi na kwa kweli nguvu inayotumika ni ya giza ya muovu ibilisi.

Askofu Gwajima kama inavyojulikana ni mtu wa watu na miezi iliyopita akiwa ofisini kanisani alitembelewa na muumini mmoja ambae aliomba kuombewa kutokana na matatizo yake, askofu alimpa appointment kanisani na alimuombea, lakini muumini yule wa kike alisisitiza askofu aende kwake ili akaombee na makazi yake ili afunguliwe kila mahali...

Askofu Gwajima kutokana na ubusy wa kazi za kanisa alimuahidi angeenda akipata muda, na baada ya mwezi ndipo siku moja siku ya jumamosi askofu aliongozana na muumini yule mpaka kwake ili akamuombee!

Askofu Gwajima anasema anakumbuka aliingia kwenye nyumba nzuri iliyopo maeneo ya mikocheni kisha waliakaa wakaongea na anakumbuka alipewa juice kabla ya kuanza maombi, na hakumbuki nini kiliendelea tena alikuja kupata ufahamu wake akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake, na alijitahidi kuvuta kumbukumbu kuwa alikuwa akitoka wapi lakini hakuweza, aliangalia vitu vyake vyote alikuwa navyo na hakuwa na jeraha wala maumivu.

Askofu alipofika nyumbani alimpigia simu msaidizi wake na kumwambia hali iliyomkuta na alijaribu kukumbuka nyumba aliyokwenda lakini kumbukumbu ziligoma, nao waliamua kupiga magoti na kumuomba Mungu ili shetani ashindwe, na kuanzia wakati ule yule binti hakuwahi kurudi kanisani na jitihada za kumtambua zinaendelea!

Baba Askofu Josephat, baada ya jana kuona kinachozunguka mitaani amesikitishwa sana na kukumbuka huenda yule mwanamke shetani aliemchukua ndie aliemfanyia mazingaombwe na kujikuta akifanya vitu vya kishetani. Kwa mnaomfahamu Baba askofu sijui kama mnaweza kuwa na chembe ya shaka juu ya ukomavu wake katika kumtumikia Mungu, kwa vyovyote asingeweza kufanya ushetani ule na kujirekodi! sisi kama familia tunaendelea kumuomba Mungu ili aliefanya kitu hicho na kusambaza hiyo video akamatwe ili ithibitike ukweli!

Sisi kama familia tunasema mambo haya yapo, na tunajua shetani anataka kujiinua ili kuharikibu kazi ya Mungu lakini tunajua haya ni mapito tu na Mwisho mkono wa Mungu utashinda! Tunaomba radhi kwa wananchi wote na hasa waumini wa kanisa la ufufuo na uzima, lakini tunaomba serikali itumike vizuri katika kuwakamata hawa mashetani wanaojiinua ili Ukweli ukatamalaki!!

Mwisho kabisa, tunawashauri wananchi wote kutoamini watu kirahisi, lakini wadumu sana katika maombi maana shetani pia halali na anatumia hila na mbinu nyingi kuliangusha kanisa la bwana!

Poleni sana watanzania.

Kwa niaba ya familia ya Josephat Gwajima.
Mimi naitwa Boniface
Msemaji wa Familia ya Josephat.
Barikiweni sana!
 
Ndiyo faraja iliyobaki kwa watanzania
Bashite kafanikiwa kuwafanya wanaume wasiwe,tofauti na wanawake (Kwenye Umbeya)
 
Imani ni kitu ki kubwa sana na cha kuheshimu sana!

Mimi binafsi nawaheshimu sana Waumini wanaoabudu kwa Baba Askof Josephat Gwajima!

Imani ni fumbo kubwa sana
 
Nipo tayari na powerbank kbs hapa
Screenshot_20190511-230051.png
niichaj tu
 
Ufafanuzi wa video mbaya za askofu Josephat kutoka kwa Familia!

Ndugu wanahabari, Ndugu waumini na watanzania wote kwa ujumla! Habari za leo!

Familia ya Askofu josephat Gwajima inasikitishea na video zinazozunguka mitandaoni zikimuonesha Askofu akifanya matendo ya kishetani! Hii si sawa kabisa na sisi kama familia tumefedheheka sana!

Mimi kama msemaji wa familia ya askofu josephat naomba nianze ufafanuzi wa jambo hili kwa kuwakumbusha kitu kinachoendelea kwenye jamii!

Nyie mtakuwa mashahidi, kuwa kwa sasa kumekuwa na matapeli wengi mtaani ambao ukiwapa nafasi ya kuzungumza nao, wao hukuchukua akili na unaweza kujikuta unafuata kila wanachotaka. kuna watu wameibiwa hela na kuna wengine wakatoa kadi za benki na password zao na kuna wengine wakaenda mpaka nyumbani kukusanya kila kitu na kuwapa mashetani hao. Matukio haya ni mengi na kwa kweli nguvu inayotumika ni ya giza ya muovu ibilisi.

Askofu Gwajima kama inavyojulikana ni mtu wa watu na miezi iliyopita akiwa ofisini kanisani alitembelewa na muumini mmoja ambae aliomba kuombewa kutokana na matatizo yake, askofu alimpa appointment kanisani na alimuombea, lakini muumini yule wa kike alisisitiza askofu aende kwake ili akaombee na makazi yake ili afunguliwe kila mahali...

Askofu Gwajima kutokana na ubusy wa kazi za kanisa alimuahidi angeenda akipata muda, na baada ya mwezi ndipo siku moja siku ya jumamosi askofu aliongozana na muumini yule mpaka kwake ili akamuombee!

Askofu Gwajima anasema anakumbuka aliingia kwenye nyumba nzuri iliyopo maeneo ya mikocheni kisha waliakaa wakaongea na anakumbuka alipewa juice kabla ya kuanza maombi, na hakumbuki nini kiliendelea tena alikuja kupata ufahamu wake akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake, na alijitahidi kuvuta kumbukumbu kuwa alikuwa akitoka wapi lakini hakuweza, aliangalia vitu vyake vyote alikuwa navyo na hakuwa na jeraha wala maumivu.

Askofu alipofika nyumbani alimpigia simu msaidizi wake na kumwambia hali iliyomkuta na alijaribu kukumbuka nyumba aliyokwenda lakini kumbukumbu ziligoma, nao waliamua kupiga magoti na kumuomba Mungu ili shetani ashindwe, na kuanzia wakati ule yule binti hakuwahi kurudi kanisani na jitihada za kumtambua zinaendelea!

Baba Askofu Josephat, baada ya jana kuona kinachozunguka mitaani amesikitishwa sana na kukumbuka huenda yule mwanamke shetani aliemchukua ndie aliemfanyia mazingaombwe na kujikuta akifanya vitu vya kishetani. Kwa mnaomfahamu Baba askofu sijui kama mnaweza kuwa na chembe ya shaka juu ya ukomavu wake katika kumtumikia Mungu, kwa vyovyote asingeweza kufanya ushetani ule na kujirekodi! sisi kama familia tunaendelea kumuomba Mungu ili aliefanya kitu hicho na kusambaza hiyo video akamatwe ili ithibitike ukweli!

Sisi kama familia tunasema mambo haya yapo, na tunajua shetani anataka kujiinua ili kuharikibu kazi ya Mungu lakini tunajua haya ni mapito tu na Mwisho mkono wa Mungu utashinda! Tunaomba radhi kwa wananchi wote na hasa waumini wa kanisa la ufufuo na uzima, lakini tunaomba serikali itumike vizuri katika kuwakamata hawa mashetani wanaojiinua ili Ukweli ukatamalaki!!

Mwisho kabisa, tunawashauri wananchi wote kutoamini watu kirahisi, lakini wadumu sana katika maombi maana shetani pia halali na anatumia hila na mbinu nyingi kuliangusha kanisa la bwana!

Poleni sana watanzania.

Kwa niaba ya familia ya Josephat Gwajima.
Mimi naitwa Boniface
Msemaji wa Familia ya Josephat.
Barikiweni sana!

Boniface nadhani kama kweli ww ni mwanafamilia hiyo misa ya kesho ya kusaga kokoto ili ziwe vumbi ihailishwe....watumie Muda huo kukuombea ww mtumishi Wa Mungu na mwanafamilia Wa Gwajima....yaani shetani hawashinde ninyi mlio na nguvu za kiroho,aje akamatwe na serikali?????
 
Kama kawaida yake kuvutia sadaka tu
Hakuna kipya atachosema zaidi ya ufafanuzi wa kitoto alioutoa
Askofu anasema eti shauri ya uchaguzi!kwani anagombea nafasi ipi?
Akijaribu kufurukuta,watu watatoa part 2,hiyo anakula biriyani kabisaa
 
Ilo Jina Gwajiboy Na Baki Kucheka Tu Hivi Mwenyewe Anajua Kweli
Dah mkuu nakuunga mkono yaan nimekaa nikawaza ,INA maan kuna MTU kakaa chini kaona gwajima aitwe gwajiboy,,,,,nimecheka saan usik huu na nimeunguruma kam simba wa yuda
 
Back
Top Bottom