Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,473
- 17,979
Line yangu ina umri wa mtu. Nimeanza kuitumia 2001 mpaka leo. Ila nimeamua kuwapumzisha mpaka mtakapo jirekebisha. Shida kubwa mnatufanya tuongee kama wendawazimu. Mtandao wenu una scrathing sana hatusikilizani.
Kwa sasa nipo na Haloteli natumia Super halo naweka 3000 dk 51 bila kikomo.
Kwa sasa nipo na Haloteli natumia Super halo naweka 3000 dk 51 bila kikomo.