Ni niko kimara baruti nimesikia kama maeneo ya Gongo la mboto kulikoni??Mimi nipo kimara baruti kunasikika mlipuko mara 3 sasa sijui ni kitu gani,ila sio maeneo yetu ni kusini mashariki ukiwa kimara baruti.
Asante
Kimara baruti mpaka gongo la mboto!!! Bomu la aina gani hilo duh!Ni niko kimara baruti nimesikia kama maeneo ya Gongo la mboto kulikoni??
Hujui bomu weweKimara baruti mpaka gongo la mboto!!! Bomu la aina gani hilo duh!
Hahaaa!! Mi nilishajitupa kitandani , nikaamua kuchukua nondo nikiwa nachungulia kwa dirisha huku nikiwaza Amini kaibukia Tz!!Hao ni vibaka wa Lumumba wanachapana makonde
😂😂😂Tunamuondoa mtu ofisi kuu nyie laleni tu kesho habari mtazipata.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
niko gongo la mboto sijasikia chochoteNi niko kimara baruti nimesikia kama maeneo ya Gongo la mboto kulikoni??