Huku msiba ukiwa haujaisha, wizi mkubwa wafanyika kwenye jumba la Mengi!

Status
Not open for further replies.

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Ama kweli dunia ina maajabu.!

Gazeti la Mwananchi limereport leo kuwa wakati msiba ukiendelea ,watu wasiojulikana wameingia kwenye jumba la kifahari la marehemu Mengi na kuiba vito vya thamani vya dhahabu na almasi!!

Moshi ni wezi hadi kwenye msiba? hamuogopi laana ya marehemu?

Kwa kweli Moshi mnajua kutumia kila aina ya fursa!!
 
As if mikoa mingine hakuna wezi? Au ni jambo la ajab sana?
Mbona kuna mikoa wanafukua makaburi mpaka na kumvua marehem nguo na kumuacha uchi?.
Dar kuna wex wa kutosha. Wanapora hadi mikoba...

Wez wako kila mkoa.
Ama kweli dunia ina maajabu.!

Gazeti la Mtanzania limereport leo kuwa wakati msiba ukiendelea ,watu wasiojulikana wameingia kwenye jumba la kifahari la marehemu Mengi na kuiba vito vya thamani vya dhahabu na almasi!!

Moshi ni wezi hadi kwenye msiba? hamuogopi laana ya marehemu?

Kwa kweli Moshi mnajua kutumia kila aina ya fursa!!
 
Ni msiba sio musiba. Wizi ulifanyika kwenye jumba lipi la kifahari kinondoni au machame ?
 
Ama kweli dunia ina maajabu.!

Gazeti la Mtanzania limereport leo kuwa wakati msiba ukiendelea ,watu wasiojulikana wameingia kwenye jumba la kifahari la marehemu Mengi na kuiba vito vya thamani vya dhahabu na almasi!!

Moshi ni wezi hadi kwenye msiba? hamuogopi laana ya marehemu?

Kwa kweli Moshi mnajua kutumia kila aina ya fursa!!
Hao ni ccm
 
Watu kuweni na huruma chozi hata hazifutika usoni bado mnaenda kuchapa tens duuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom