Je suala la umri na jinsia linazingatiwaje katika mchakato wa ajira? Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira Bi. Lynn Chawala anatoa ufafanuzi.
Hayo yameelezwa kupitia...
Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akizungumza kupitia M&S PODCAST amesema;
"Mimi kuna wakati nilikaa, bwana siyo siri, mpaka nikampigia simu Tido nikamwambia...
Chei chei
Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu
Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi
Msichukie...
Kuna kiwango cha ufahamu ukifika, unashindwa kujibu swali la umri sababu umri unaozungumzwa ni umri wa mwili siyo wako. Wewe mwenyewe umri wako huujui maana hujui kitu kinachoitwa muda. Huwezi...
Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025.
Sheria hiyo...
Unaweza kuwa na bidii ya ajabu, kuamka asubuhi sana , unajituma kupiga kazi kuliko wenzaka lakini kama akili yako haina mwelekeo mbio zako zote ni bure 😔
Utakimbia haraka sana, Utapita watu...
Wakuu, habari za majukumu.
Naandika uzi huu kwa mshangao kidogo lakini na furaha kwa mbali. Kwa saa kadhaa sasa, nimejaribu kuingia hapa JamiiForums na kule X (zamani Twitter) bila kuwasha VPN na...
Habari ya muda mrefu wakuu….
Baada ya miezi mingi kupita hatimaye nimerudi tena Binti wa zamani do you see me?……
Hivi mnajua kuwa mioyo yetu inauhitaji wa amani muda wote hapa duniani,na je...
Dunia inaongozwa na kanuni ya kichocheo na matokeo. (Cause and Effect) Hakuna jambo linalotokea tu bila sababu.
Kila matokeo unayoyaona leo ni kwasababu ya jambo fulani lililofanyika kabla ya...
Wakati watu wanasubiri mwaka 2000 kila mtu alikuwa na hofu sana kwa jinsi mijadala mingi ambayo mpaka wakina kibwetero wakatokea hapo.
Mimi na kumbuka wakati tuna subiria 2000 mzee aliwaita...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums, tunaomba utusaidie kupaza sauti zetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji inayowakabili wakazi wa Misongeni A (Misongeni Juu, eneo la Msikitini).
Tumekuwa tukikosa huduma...
Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu.
Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni...