Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Si kwamba napenda sana mambo ya kupewa shukrani , la hasha ! lakini ni jambo la uungwana mno kuwatambua watu walioshiriki kwenye matatizo yako. Sote tumejionea jinsi jf ilivyoripoti kikamilifu...
32 Reactions
83 Replies
11K Views
Binafsi nipende kumpongeza mheshimiwa Waziri mkuu wa Jamh ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa jimbo la Ruangwa mh. Kassim Majaliwa. Bila kupepesa Macho huyu bwana is one of my best leader...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumeambiwa na kusikia huko bungeni kuwa azam wanarejesha je dstv mmejipangaje
1 Reactions
29 Replies
4K Views
KWAKO NAIBU WAZIRI WAITARA Kuna wakati tunaumia sana na kuishi kwa hofu kubwa, kwa sababu kuna mambo tunayaogopa sana kuyakabili, na hayo ndiyo huonyesha udhaifu wetu, na huleta kunyanyasika na...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Jana 4/4/2019 wajane walifika kwa wingi sana pale Mlimani City wakati napita pale idadi yao ilisababisha hata foleni kubwa na msongamano mkubwa sana eneo lile...kiasi kwamba nikajiuliza kwamba...
5 Reactions
121 Replies
15K Views
Palipo na watu kuna baadhi ya mambo huwa yanachukua muda sana kupata majawabu ya moja kwa moja. Hili la HIV na Cholera linaweza kuwa historia kwenye uso wa dunia.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna vijana wengi siku hizi zaidi sana wa upinzani ambao wamejiunga na mitandao ya kijamii kwa kupata taarifa na pia kuweka taarifa za kwa jamii. Tatizo kubwa ni namna ya kutumia mitandao hiyo ya...
21 Reactions
74 Replies
7K Views
kipindi cha hivi karibuni taifa la China limekuwa ni tishio kwa mataifa ya ulaya na Amerika pia, maendeleo ya china liteknolojia yamekuwa ni tishio kwa mataifa ya mangaribi Mmarekani sasa ameanza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ilikuwa ikiendeshwa na kijana mdogo ambaye ametanua, yaani kupita njia tatu kisha ikamgonga dada mmoja na madereva kubadilishana usukani wakampakia yule dada na kutokomea naye, kabla watu hawaja...
8 Reactions
55 Replies
8K Views
Abiria waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Tahmeed lenye Namba za usajili KCN 970R wamenusurika kifo baada ya basi hilo kugongana na Lori la mizigo lenye namba za usajili T235 AXJ katika...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani nimesitushwa na habar za ma gazeti juu ya ugojwa wa UTI always tunapima ugojwa huu kila mara na ndani ya saa ushapata majibu Leo hii eti wazir wa afya anasema hakuna kipimo cha UTI...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
1. Tafuta connection na watu 2. Tafuta ku- network na watu 3. Tafuta interaction na watu Usitembeze tu CV.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Binafsi nilichagua kuwa mtu wa peace and love. Kwa muda mrefu nimekuwa mtu mpole na mkimya hata pale inapotokea mtu kunikwaza siku zote nimekuwa wa kujishusha kwenye hali zote nazopitia. ila...
19 Reactions
45 Replies
8K Views
Closer to home we have two interesting examples. Tanzania avoided the plague of tribalism and religious divisions that continue to haunt many East African countries. We don’t know what tribe...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Moja ya dalili kubwa kwa jogoo anayekaribia kuchinjwa huwa ni vurugu. Mara utaona kadandia pale ,mara kamwaga mchele unaochambuliwa , mara kapigana na jogoo mwenzie ,naam.....hizi ni dalidali za...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiangalia video mbalimbali za wanyama, Nimetokea kumchukia sana simba. Simba ni muharibifu sana na anasababisha kupunguza idadi kubwa ya baadhi ya wanyama mbugani na hata kutishia...
10 Reactions
135 Replies
19K Views
Sasa ni rasmi kabisa kwamba kama ukiwa ni Nesi au Daktari katika Hospitali ya Rufaa ya Musoma ( Mkoani Mara ) yakupasa kila Siku ulazimike kupata Mazoezi ya ama Ngumi au Karate ili kuweza Kujihami...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jeshi LA Polisi Mkoani Arusha linawashikikia askari nane wa kampuni ya ulinzi ya Knight support tawi LA Arusha kwa madai ya kufanya mgomo na kumfungia nje meneja wa tawi hilo,Malima Macha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku ya pili sasa huku mtaana kwetu naona viongozi wa mitaa na wananchi eti wanaandikishana, nilivyouliza wanasema kuna hela zinatolewa na nchi za nje so kila kaya itagawiwa hizo pesa. Mimi...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Jeshi LA Polisi Mkoani Arusha linawashikikia askari nane wa kampuni ya ulinzi ya Knight support tawi LA Arusha kwa madai ya kufanya mgomo na kumfungia nje meneja wa tawi hilo,Malima Macha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…