guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,277
- 2,463
Binafsi nipende kumpongeza mheshimiwa Waziri mkuu wa Jamh ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa jimbo la Ruangwa mh. Kassim Majaliwa. Bila kupepesa Macho huyu bwana is one of my best leader.
Pongezi zangu hasa kwa juhudi zake za kuzuia uzalishaji wa mifuko almaarufu rambo zilizokuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa uchafuzi wa mazingira. Kuna maeneo ukipita Dar huwezi amini kama wanaishi watu au mbuzi. Mifuko imezagaa mpaka inakuwa kero.
Sambamba na pongezi hii nimwomba mh. ofisi yake ifanyie kazi hili suala la Nguo za mtumba. Sisi ni masikini naweza kukubali lakini hili la sisi kuzalisha pamba na kuletewa mitumba halikubaliki. Nilishawahi kwenda nchi za wenzetu huko. Nikipita mtaani unakutana na picha cha watu weusi zikiambatana na maneno "Donate used clothing for the poor". Shida sio picha shida ni perception wanazojengea vizazi vyao kuhusu mtu huyu mweusi. Na hii ndio image waliyo nayo hawa jamaa kuwa ni wa hovyo na wakupewa makapi. Our value, dignity, humanity will never alter unless we ourself change and accept that we can achieve and accomplish the impossible. Let just say NO to secondhand staff starting with Mitumbas.
Aidha nipende kukupa shukrani zangu hizi na ni matumaini yangu ofisi yako tukufu italizingatia.
Asante sana.
Imeandikwa na Mbunge Mtalajiwa...
Guzman_