Salamu za shukrani: IPP Media yaitosa JamiiForums

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
20190519_002023.jpg

Si kwamba napenda sana mambo ya kupewa shukrani , la hasha ! lakini ni jambo la uungwana mno kuwatambua watu walioshiriki kwenye matatizo yako.

Sote tumejionea jinsi jf ilivyoripoti kikamilifu tena kwa weledi mkubwa sana msiba wa Mzee wetu Mengi , JF ndio mahali ambapo taarifa zote tena bila kuhaririwa zilitolewa bila chenga wala giza , lakini inashangaza kuona kwamba haimo ndani ya kitabu cha shukrani cha IPP !

Uungwana ni vitendo .
 
View attachment 1101708

Soma mwishoni hapo itaiona JF
 
Ukuwa mtu mzima alafu mmbeya haipendezi.
Jf ni mtambuka
 
Hiyo mitando iliyopewa shukrani kwa majina haina pagerank ya nguvu kushinda jamiiforum (PR 5/10). Kuna mitando mingine haionekani kabisa kwenye google search. Inayoonekanana Google ni Milardi Ayo (pr 1/10), Global publishers (PR4/10) na IssaMichuzi (PR5/10). Mitandao minine yote haionekani. Angalau JF nayo ingetambuliwa kwa jina. Zaidi ya Michuzi blog hakuna mtandao mwingine wa kijamii Tanzania wenye PR ya kufikia 5/10 kama ya JF.
 
Hiyo mitando iliyopewa shukrani kwa majina haina pagerank ya nguvu kushinda jamiiforum (PR 5/10). Kuna mitando mingine haionekani kabisa kwenye google search. Inayoonekanana Google ni Milradi Ayo (pr 1/10), Global publishers (PR4/10) na IssaMichuzi (PR5/10). Mitandao minine yote haionekani. Angalau JF inayo intemabuliwa kwa jina. zaidi ya Michuzi blog hakuna mtandao mwingine Tanzania wenye PR ya kufikia 5/10 kama JF.
Mkuu umeniacha mbali sana!! Kuna vitu umeandika hapo
 
Hiyo mitando iliyopewa shukrani kwa majina haina pagerank ya nguvu kushinda jamiiforum (PR 5/10). Kuna mitando mingine haionekani kabisa kwenye google search. Inayoonekanana Google ni Milardi Ayo (pr 1/10), Global publishers (PR4/10) na IssaMichuzi (PR5/10). Mitandao minine yote haionekani. Angalau JF nayo ingetambuliwa kwa jina. Zaidi ya Michuzi blog hakuna mtandao mwingine Tanzania wenye PR ya kufikia 5/10 kama ya JF.
Mara nyingi watu hukwepa kuitaja JF Wanaporefer kuhusu mitandao ya kijamii sielewi huu ushamba utawaisha lini
 
Nazungumzia herufi na rate uliyoweka kweny maelezo yako!! Ni nini hizo? Dadavua zaidi

PR maana yake ni Pagerank; ni kipimo kinachotumiwa na google kutathmini ubora au umuhimu wa webpage. Webpage yenye PR kubwa ina umuhimu sana, kwa hiyo ukiigoogle, utaiona kwenye kurasa za mbele mbele za google list. Web page yenye PR kubwa sana sasa hivi ni pamoja na google.com ambayo PR yake ni 10/10. Iwapo webpage yako ina PR ndogo kama ya Milard ayo amabyo ni 1/10, ukigoole jambo lolote, inabidi upitie page kadhaa kwenye list kabla ya kuiona.
 
View attachment 1101708

Si kwamba napenda sana mambo ya kupewa shukrani , la hasha ! lakini ni jambo la uungwana mno kuwatambua watu walioshiriki kwenye matatizo yako.

Sote tumejionea jinsi jf ilivyoripoti kikamilifu tena kwa weledi mkubwa sana msiba wa Mzee wetu Mengi , JF ndio mahali ambapo taarifa zote tena bila kuhaririwa zilitolewa bila chenga wala giza , lakini inashangaza kuona kwamba haimo ndani ya kitabu cha shukrani cha IPP !

Uungwana ni vitendo .
Huku umbea ulikuwa mwingi kuliko ukweli. Nyumbu walituharibia sana
 
Back
Top Bottom