Msaada wa tafsiri ya ndoto hii....

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,416
15,948
Wakuu habari za asubuhi,
Straight to the point,. Leo nimeota ndoto NATEMBEA JUU YA MAJI BAHARINI, je kwa wale wajuvi wa haya mambo hii ndoto ina maana gani? nitashukuru sana kwa ufafanuzi utakaotolewa.
Asante.

cc Mshana Jr
1102697
 
Ndoto hiyo ni ufunuo kwako kwamba, nafsi yako inaamini imeyashinda matatizo uliyonayo. Huu ndio uthibitisho, nafsi na moyo wako upo katika hali nzuri kuliko jana lakini akili yako bado ina maswali mengi.
 
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe na katika mito haitokugharikisha( ni Mungu) ...
Isaya 43:1-2b ujumbe wako upo hapo. Sijui unapita wapi lakini Mungu anakujibu kuwa usiogope yupo pamoja nawe. Kaw thabiti ktk imani hutozama kwa unachopitia
 
Mm leo ninasiku ya nne anita NDOTO nipo kazini napiga mbizi. Ni km ziwani vile lisilokuwa na mwisho.napiga mbizi sn.ninapochoka najalibu kujiachia labda ntafika chini lkn hakuna kbs sifiki. Hatimae naamua kuibuka tu tena majini..je nn tafsili yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom