PATA PICHA

PATA PICHA

jmour

Member
Joined
May 12, 2019
Posts
82
Reaction score
26
Pata picha mwanaume mwenzio kukuita My au wangu hii imekaaje wananzengo.
 
hiyo WANGU.ni kawaida tu,,imezoeleka haina madhara,,
Sema hiyo my ndo haijakaa vizuri.
 
Dah pata picha mwanaume unaitwa na mwanaume mwenzio "mwananzengo".
 
Pata picha mwanaume mwenzio anakutumia text inayosomeka hivi; " Hello best nmekumc sana wangu"
 
Pata picha mwanaume na ndevu zake anaandika "jomoni" au " xaxa"
 
Huo ni upunga ,,utamwitaje mwanaume mwenzako My,Wangu,Best,Sho,nk

Ni upunga upingwe kwa nguvu zote
 
Kama ni mwanamke sawa hata akinishika matako nitachekacheka tu, lakini mwanaume mwenzangu, aisee patatokea volcanic eruption
 
Back
Top Bottom