Basi la Kampuni ya Fikoshi lagonga tembo eneo la Kitengule mkoani Kagera

Basi la Kampuni ya Fikoshi lagonga tembo eneo la Kitengule mkoani Kagera

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Basi la Fikoshi lenye namba za usajili T 872 CJQ linalofanya Safari zake kati ya Karagwe na Mwanza limegonga tembo eneo la Byenturege Kitengure Wilayani Karagwe likitokea Mwanza.

Eneo hilo ni Sehemu ambayo hupatikana Wanyama mbalimbali Kama Swala, Simba, Tembo ambapo hupenda kukatiza licha ya kuwepo kwa alama za Vibao vya tadhali, lakini Magari yamekuwa yakikatiza Kwa kasi.

Hakuna madhara kwa binadamu. Taarifa zaidi tunangoja kutoka mamlaka husika

Kwa Mujibu wa sheria, dereva yeyote wa chombo cha moto akiua au kujeruhi tembo itampasa kulipa faini ya shilingi za kitanzania milioni 33.

1.PNG
2.PNG
 
Wiki hii ipite tuu ajal nyingi sana
1-fukoshi
2-mtei
3-tahmeed
4-new force

Huyo tembo si chin ya $8000
 
Kipindi cha mvua ajali huwa nyingi ingawa hii sidhani ni kwa sababu ya mvua
 
Hii kesi imuepuke dereva. Sina kumbukumbu kama kuna kibao cha wanyama wala cha 50km/hr baada ya mtaa wa Mwisa ni barabara imenyooka private car zinakimbia 150.
 
Back
Top Bottom