Speed of light
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 313
- 284
Je! Wasumbuliwa na huyu mdudu mwenye karaha na maudhi tele...? Kama ndio usihofu dawa ama sumu ya kumuangamiza ni rahisi sana, nenda duka lilokaribu nawe nunua mijali miwili ya mafuta ys taa kisha nyunyizia kila sehemu ya kitanda unakohisi anaweza jificha acha milango wazi ili harufu ya mafuta isidumu chumbani wala usichanganye na chochote wala usinyunyuze karibu na moto.
Mafuta ya taa ni kilipuka chukua tahadhari. Na usimimine kiasi kikubwa mpaka ikatiririka kidogo tu inatosha kumuulia mbali mdudu huyu mwenye karaha na maudhi tele nimejaribu mara kadhaa na tatizo halipo tena.