Wachawi huwa wanapata faida gani?

Wachawi huwa wanapata faida gani?

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,475
Reaction score
11,674
Hivi huwa wanapata faida au furaha gani wanapokusumbua?

Just imagine mtu anahakikisha usiku hulali, ni mwendo wa kukuchezea mahepe tu nkusugua na matako yake. Je, wanafaidika na nini?

Unakuta mtu humjui wala huna neno nae anahangaika kukuroga ukifa ndo inakuaje kwao?
Halafu kuna watu wenye heshima uraiani siku ukiwaona wako kazini utashtuka nusu uzirai.

Mimi niliwahi kuishi kwenye nyumba nzuri ya kupanga Mwananyamala kipindi cha utoto. Mama mwenye nyumba ni tajiri ana bonge la jumba pembeni. Siku tumelala tunashangaa mtu anahangaika kuchokonoa na chelewa dirishani ili afunue pazia aone ndani.

Tunakimbia sebuleni anatufuata, tukirudi chumbani anakuja. Kila siku bi mkubwa analalamika asubuhi ni nani huyu anawachezea wanangu anajibaraguza ohh mi mwenyewe sijui.

Siku ikafika tukamkamata live anawanga uwanjani, kumbe ni yeye. Aibu ilioje.

Enyi wachawi mnijibu mnapata faida gani? mnajiskiaje!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikushauri tu. Ukitaka wakuhare na wakikuona wakimbie kabla hujawafikia; Mpokee huyu Yesu Mnazareti awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Tiyari unakuwa Mboni ya Jicho la Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo. Hata hao wachawi na majini yao. Ukiokoka utalindwa na Mungu mwenyewe kwani wewe ni jicho lake. Ni ushauri tu, ukitaka uupokeee.
 
Nilipata safari Tanga two years back.Pindi nimelala usiku nilihisi kabisa kuna kitu kinachezea P**mbu zangu.Kwa kweli nilijua ni nyoka na kwa bahati mbaya yupo kwenye Sehemu za nyeti zangu.Maana kulikuwa na hali fulani ya ubaridi na joto ambavyo vyote viniletea msisimko wa raha ya ajabu.Mwanga ulikuwa hafifu ila nilopoweza kuona vizuri hicho kiumbe.. Dah..ni binti tu wa makamo kabisa alikuwa amevalia lubega alikuwa ananifanyia Blow Job..Alishtuka baada kujua nimeamka na kumkodolea macho..Haraka aliruka na kuitokomea pasipo julikana.Hawa wachawi hawa sijui wanaonaga raha gani kutusumbua watu usiku..Sheeenz kabisa....

#Muungwana_John
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu umetuongopea[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata safari Tanga two years back.Pindi nimelala usiku nilihisi kabisa kuna kitu kinachezea P**mbu zangu.Kwa kweli nilijua ni nyoka na kwa bahati mbaya yupo kwenye Sehemu za nyeti zangu.Maana kulikuwa na hali fulani ya ubaridi na joto ambavyo vyote viniletea msisimko wa raha ya ajabu.Mwanga ulikuwa hafifu ila nilopoweza kuona vizuri hicho kiumbe.. Dah..ni binti tu wa makamo kabisa alikuwa amevalia lubega alikuwa ananifanyia Blow Job..Alishtuka baada kujua nimeamka na kumkodolea macho..Haraka aliruka na kuitokomea pasipo julikana.Hawa wachawi hawa sijui wanaonaga raha gani kutusumbua watu usiku..Sheeenz kabisa....

#Muungwana_John
duh mchawi anapiga blowjob
 
Oohh nimeandika tu hiki kuanzisha soga
Ukweli tangu napata fahamu zangu mi hata kulogwa sikujui..sijawahi anguka mapepo kwenye maombi naenda sana.
Mkono wa Mungu upo juu yangu siku zote..hakuna baya kwa hila ovu za binadamu litalonipata!
Nikushauri tu. Ukitaka wakuhare na wakikuona wakimbie kabla hujawafikia; Mpokee huyu Yesu Mnazareti awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Tiyari unakuwa Mboni ya Jicho la Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo. Hata hao wachawi na majini yao. Ukiokoka utalindwa na Mungu mwenyewe kwani wewe ni jicho lake. Ni ushauri tu, ukitaka uupokeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom