Aisee nimesikitishwa na habari ya TTCL kuhusu kuajiri vijana 200. Mimi binafsi katika hangaika zangu za kutafuta ajira niliweza kuandika business proposal yangu nzuri tu. cha ajabu sikuwahi hata...
Tanzania na Msumbiji zimeanza utafiti wa kutumia dawa ya Ivermectin, ambayo imezoeleka kutibu ugonjwa wa mabusha na matende, kwa ajili ya kupambana na maralia, kupitia mradi uitwao Bohemia ambao...
Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima, amewaondoa katika uongozi wajumbe wanane wa timu ya uendeshaji na usimamizi wa huduma za afya...
Yapata wiki sasa kuna namba inanisumbua sasa kunitumia meseji kwamba, UNADAIWA DENI LA M PAWA hivyo wakati wowote utakamatwa au lipa deni hilo haraka sana.
Lakini namba hiyo nikipiga haipokelewi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limepewa saa kadhaa leo asubuhi Jumatatu Mei 20, 2019 kuziachia pikipiki zote walizozikamata na ikifika jioni bila agizo hilo kutekelezwa, watakumbana na mkono wa...
Nilikuwa sijamuona mkuu kwa muda sasa ila leo nimebahatika kumuona kwenye shughuli za kupokea gawio la kampuni ya mawasiliano TTCL. Yani mkuu amekuwa flat kabisa, utashangaa kapuku kama litumbo...
Habari ndugu zangu,
Ni Matumaini yangu kuwa mko salama na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku katika kuhakikisha kuwa tunajijenga binafsi pamoja na nchi yetu kwa ujumla.
Katika maisha haya...
Jamani nipo hapa maeneo ya kwimba kwenye mapokezi ya mbio za mwenge kitaifa. Mwenge unakuja unapita sekondari moja ya kata. Sasa shida ni kwamba wanafunzi wote wa primary kutoka shule zote za kata...
Mkaazi mmoja Wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara amejipata katika matatizo baada ya nyeti zake kupotea akiwa kituo cha polisi
Shuhuda Wa tukio aliiambia redio Bunda FM kuwa mtuhumiwa alifikishwa...
Mi hata sielewi..
Ukiamua uuze biashara yako kihalali ikiwemo kulipa kodi na mengineyo unaishi kuumia lakini wale wenzio wanaokwepa kodi wanawin
Ukiamua kutafuta pesa kihalali inachukua muda...
Taasisi ya HakiElimu yatwaa tuzo ya jumla ya Asasi za Kiraia barani Afrika kwa kuwa mstari wa mbele kupigania ustawi wa elimu
Tuzo hiyo inajulikana kama The African Civil Society Excellence...
Sasa ni dhahiri kuwa mbwembwe na majigambo ya kununua korosho yameshindwa vibaya kama ni katika ndondi basi hi ni KO. Yawezekana ni laana na dua za Mh. Majaliwa zimejibiwa maana alitumia mufa wake...
Wadau,
Kama inavyosomeka hapo juu..kwa muda mrefu natamani kuwa na Bendera yangu ya utambulisho,asubuhi naipandisha nyumbani kwangu kwenye mlingoti mdogo sio mrefu kama wa ile ya Taifa..pia nakuwa...
Kuna hizi pkpk wanasema wamepasua eksozi. Ikipita hapo kelele zake hazivumiliki kabisa, noise pollution ya kufa mtu. Sheria za barabarani zinasemaje kuhusu hii ishu?
Hili ni jambo la kijamii la kimaadili zaidi kuliko kimtazamo... Uhalisia wake ukijikita kwenye mikanganyiko ya jinsia, imani, maadili, heshima, hekima, ustawi wa familia nknk
Ni jambo lenye...
Dunia hii bhana unaweza kuta unamiliki simu au gari sasa kuna wakati unakuta inakusumbua maybe kwa kuharibika Mara kwa mara unaamua bora uuze kwa bei ya hasara tu uongeze hela ununue nyingine ili...
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernad Membe, leo ametinga Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya madai fidia ya Sh. Bilioni 10 dhidi ya Cyprian Musiba iliyopangwa...
Dar -Iringa
Ordinary Bus Tsh18300, Semi Luxury Bus Tsh26300, Luxury Bus Tsh28900.
Dar -Mtwara
Ordinary Bus Tsh21500, Semi Luxury Bus Tsh29700, Luxury Bus Tsh32600.
Dar -Arusha
Ordinary...