Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Vodacom Hisham Hendi amerejea kazini wiki hii baada ya kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa inamkabili kuisha kwa kukiri kosa na kukubali kulipa. Ikumbukwe...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna hii tabia ya kusahau hela kwenye suruali ki ukweli nimejitahidi kuiacha ila kila nikijaribu ntaacha kwa siku mbili au tatu ila siku nikija kufua ni lazima nikutane na buku au ka jero kila...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
IDADI ya watalii walioingia nchini imeongezeka kutoka 1,327, 143 mwaka 2017 hadi kufi ka watalii 1,505, 702 mwaka 2018 na ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato yatokanayo na utalii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wa mikoa acheni kutisha watu. Unasema wasiokuwa na vitambulisho utawafikisha mahakamani ati kwa kukaidi agizo la Serikali? Wanapelekwa mahakamani kwa sheria na kuvunja au kutenda kosa gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni njia gani hiliyo bora itatusaidia kuondokana na hii tabia ya watu wanao jiusisha na mapenzi ya jinsia moja? Tunaitaji jamii bora Mwanamke abaki mwanamke na mwanamme abaki mwanaume inapotokea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UDHAIFU WAKO NDIYO MAFANIKIO YAKO. Miaka mingi kabla ya kuwa maarufu katika ulimwengu huu kwa kutumia uwezo wake wa kuburudisha na kuchekesha umati wa watu kama muhusika mkuu katika mfululizo wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mmeonesha ninyi si tu jukwaa lakutafuta website inayotembelewa sana kwa ma likes na comment Bali mnaenda mbali kuwa sehemu ya jamii kwa kutumia ushawishi wenu kutatua matatizo ya watu. Swala la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman ushauli please iko hivi; Nina mahusiano na dada mmoja kiukwel n mzur kwa kila kitu kimapenz na muuonekano wa nje kiujumla safi kabisa ni mtoto wa kisure yupo serikalin tena kitengo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wengi utawakuta kwenye Mipira tu. Kutoa ajira viwandani na mashambani kwa mishahara hafifu. Mambo ya kiimani sana. Matukio wako mbele kutoa msaada. Huwezi kuona wanaNGO ya Kusaidia masikini...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kulikua na ujenzi wa ofisi za BAKWATA ambao ulihamasishwa na mkuu wa mkoa wetu wa Dar na ujenzi ukazinduliwa na ahadi ilikua kufikia mfungo wa ramadhani mwaka fulani watu waanze kutumia wapitaji...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Dar es salaam ni mji ambao wakazi wanaongezeka kwa kasi sana uongezekaji huu ni kwa asilimia karibu 5 kwa mwaka.. kwa mfano mwaka 2019 idadi ya watu ni 6400,000 yaani hawa wanaishi dares salaam...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna kitu nimegundua na nafikiri wamiliki wengi wa mabasi ya mikoani ama hawakijui au wanakipuuza. Watu wengi tunaosafiri mathalani ruti ya Dar-Arusha hua tunachagua basi la kupanda kwa...
28 Reactions
157 Replies
14K Views
Maandiko matakatifu yanasema " Mtu asiyewajali watu wa nyumbani mwake, huyo ni mbaya zaidi ya asiyeamini. Chukua kalamu piga hesabu, ukiona unachopeleka kanisani au msikitini ni kikubwa kuliko...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa hizi mb 500 za saa saba usiku atumie nani msitufanye wajinga jamani
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Sisi waafrika, watanzania na mataifa mengine ni HODARI WA UNAFIKI. Wazungu kinachowashinda ni UNAFIKI. WAO NI WA WAZI SANA. Mwaka 1991 nlikuwa namfaham kijana mmoja shoga mtaani kwa jina la...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika pitapita yangu leo, nimekuta vipeperushi vilivyoandikwa na uongozi wa soko kuu Majengo ,linalo wataka kuwafukuza wadau wa soko (boda boda, bajaji na wabeba mizigo) kuondoka katika maeneo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Imekua kawaida binadamu akipewa madaraka kutumia fursa hiyo kukandamiza wengine. Kufukia Juni 1 mifuko ya Rambo haitatakiwa kutumika tena. Kuna watu wamepewa dhamana ya kukagua mifuko ya rambo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Aisee hizi sura zina mchango mkubwa sana katika kufanikiwa kuna baadhi ya sura hata zikiwa na ujinga ni rahisi kuaminiwa lakini baadhi ya wengi ambao tuna potential inside sura zetu zinatuangusha...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada Wakuu kuna mdogo wangu ameamka asubuhi akiwa amenyolewa nywele kichwani kasehemu kadogo kamviringo. Sifahamu aliyemnyoa na nafikiria kuwa amenyolewa kichawi... Je, hii...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Hivi mikate itafungashwa na kifungashio cha aina gani kuanzia June 1 2019. Nawasilisha
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Back
Top Bottom