Ujenzi wa Ofisi za BAKWATA ulioahidiwa na RC wa Dar umefikia wapi?

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,498
2,000
Kulikua na ujenzi wa ofisi za BAKWATA ambao ulihamasishwa na mkuu wa mkoa wetu wa Dar na ujenzi ukazinduliwa na ahadi ilikua kufikia mfungo wa ramadhani mwaka fulani watu waanze kutumia wapitaji tujuzane mwenye kufahamu palipofikia...
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
9,694
2,000
Bakwata si ndio pale karubu na TX Market kinondoni kama unaenda Makaburini.

Nlionaga kuna ujenzi unaendelea mwaka jana ila sina Status ya hali ya sasa.

Na sijui kama ndo huo ujenzi unaouzungumzia
Kulikua na ujenzi wa ofisi za bakwata ambao ulilhamasishwa na mkuu wa mkoa wetu wa dar na ujenzi ukazinduliwa na ahadi ilikua kufikia mfungo wa ramadhani mwaka fulani watu waanze kutumia wapitaji tujuzane mwenye kufahamu palipofikia...
 
LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,266
2,000
Waislamu !? ni kikundi gani? mbona hupenda kujinasibu kana kwamba ni kundi maalumu kuliko mengine? Huwezi Kusikia Wakristo na wengine wakijinasibu hovyohovyo kibaguzi kama waislamu kutaka kila kila kitu wapewe offer badala ya kupambana na hali zao. Wamezidi mno kuonesha unyonge wakati hawako hivyo. Wakristo kwa ujumla wao huwezi kusikia wakijinasibu kwa ukristo wao hovyohovyo hata wawapo kwenye mikusanyiko yao. Wao huchukulia watu wote ni wakristo bila kujibagua. Wanafanya maendeleo yao bila kutegemea ahadi za wafadhili.
 
Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
1,217

Acha uongo bandugu, msaada ya wazungu na mashirika ya kimissionary ndo yamejenga makanisa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom