Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
Dar es salaam ni mji ambao wakazi wanaongezeka kwa kasi sana uongezekaji huu ni kwa asilimia karibu 5 kwa mwaka.. kwa mfano mwaka 2019 idadi ya watu ni 6400,000 yaani hawa wanaishi dares salaam!
kwa maoteo ya Haraka yaani "Projection" kwa miaka kumi ijayo P=6400000(1+0.05)^10=1040000!
Tuseme basi Milioni Kumi.. hii ina maana mwa muda wa miaka Kumi ijayo Dar es salaam itakuwa ngumu ku accomodate watu Millioni kumi kwa majengo ya kawaida!
Wahandisi wenzangu hii ni Fursa hasa sasa ya kutazama.. ya Kujenga Hata 10 Storey Residential Building!
Kwa Mfano!
Sasa kwa eneo kama Dar es salaam inatakiwa Wahandisi tuanze kujikita katika kubuni majengo ya aina hii.. yatakuja kuwa na soko kubwa sana miaka Kumi ijayo!
Lets meet at the top, Future is Exciting!
I Stand to be corrected!
Believer!