Fahamu Miongozo kwa Wakaguzi wa Mifuko ya Rambo

Fikrazangu

Member
Dec 31, 2017
15
25
Imekua kawaida binadamu akipewa madaraka kutumia fursa hiyo kukandamiza wengine. Kufukia Juni 1 mifuko ya Rambo haitatakiwa kutumika tena. Kuna watu wamepewa dhamana ya kukagua mifuko ya rambo sehemu mbalimbali. Nimeona niwasogezee kanuni wanazopaswa kuzifuata Wakaguzi hawa ili kila mwananchi atambue haki zake kuepuka kunyanyasika.
IMG_20190524_084432.jpeg
 
Back
Top Bottom