Sura(face) yangu inaninyima michongo siaminiwi.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,095
10,694
Aisee hizi sura zina mchango mkubwa sana katika kufanikiwa kuna baadhi ya sura hata zikiwa na ujinga ni rahisi kuaminiwa lakini baadhi ya wengi ambao tuna potential inside sura zetu zinatuangusha yaani muonekano wa sura tu unafanya mabosi wasituamini juzi nimekosa dili la kuwa mweka hazina wa kikundi Fulani kisa sura imekaa kigaidi gaidi. Naomba niwakumbushe watu sura sio roho mtuamini hata sisi wenye sura za kutatanisha.
 
😝😝😝 Una sura mbaya kama Caterpillar letu wanasimba kagere?
 
Kwa kweli kwa hiyo sura, kwenye kikundi chetu hatuwezi kukupa hiyo nafasi. Bora tumpe yule jamaa mrefu.
 
Una mbaya kunizidi mimi?

Mbona mimi pamoja na kuwa na sura mbovu kama sori ya buti la mgambo, bosi ananiamini sana. Na michongo inatiririka kwenye lane yangu kama miradi ya miundombinu kwenye awamu ya Jiwe.

Kuna mahali unakwama.
 
Aisee
Screenshot_20190220-222954.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom