Searching engines ya google imekuaje tena mbona imepoteza features zake muhimu?

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,118
2,312
Wadau kama wewe ni mtumiaji mzuri wa google utakuwa megundua hali hii tangu leo usiku zile option za kuamua u serach picha tu au news, videos sasa hazipo tena mfano nimejaribu kuandika neno jamiiforum hivi ndivyo imeniletea

1128856


tofauti na mwanzo ambapo ungepewa options hapo juu ya all,image.video,news
 
nimeamua kufuta caches na cookies na sasa imekubali nimejaribu kufatilia tatizo nimegundua kuwa hii cse.google nimeidownload bila kujua katika baadhi ya software nilizozidownload muda kadhaa wakati wa usiku ni mojawapo pia ya kirusi kinachowekwa pamoja katika software/pplication unazodownload kinauwezo wa kucontrol homepage ya search engine pamoja nakudhoofisha network security nimeamua kufuta software kadhaa nilizozidownload muda mchache wakati wa usiku na kuirudisha mwanzo browser yangu ya operamini kwa maelezo zaidi kuhusu ttizo hili na namna ya kulitatua kama siku likitokea na kwako pitia website hii https://pcfixguides.com/remove-cse-google-permanently/
 
Back
Top Bottom