Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kwa lengo la kutambua thamani, utu na umuhimu wa mtoto.
Maadhimisho haya hufanyika kila Juni 16 tangu ilipotangazwa kuwa siku rasmi mwaka 1991 na Jumuiya ya Umoja wa Afrika.
Hii ndiyo siku ambapo maandamano yaliyoongozwa na wanafunzi weusi huko Afrika Kusini kupinga ‘Afrikaans’ kutumika kama lugha ya kufundishia kwenye shule zao yalipoanza.
@sematanzania ikishirikiana na JamiiForums, pamoja na wadau wengine wataadhimisha siku hii visiwani #Zanzibar ambapo kutakuwa na michezo, mashindano na zawadi kwa watoto washiriki