mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
.....
GT peke yake atakuelewa, na ukijibiwa nistueNashindwa kuelewa hawa watu wa zoo,,..unakuta wamewafunga wanyama kwenye cage,wamefunga makufuli makubwa makubwa na walinzi juu.
hivi kwa nini hawatuamini kiasi hicho kwani kuna mtu anaweza kuiba chui ?