Mwanafalsafamweusi
Member
- Jun 4, 2019
- 14
- 23
Fisi tukae mbali tuwaachie Swala nao wale majaniView attachment 1130128Washiriki wa Miss Arusha mwaka 2019 wapatao 22 wamepata nafasi ya kutembela hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo Mkoani Kilimanjaro Wilayani Same na kupokelewa na mkuu wa wilaya hiyo Bi.Rosemary Senyamule na Mhifadhi mkuu wa Hifadhi hiyo ya Taifa Mkomazi Kamishina Msaidi Abeli Mdui .
View attachment 1130141View attachment 1130142Bi.Rosemary amewataka Warembo hao kuwa mabalozi wazuri wa hifadhi hiyo yenye vivutio vingi ikiwemo wanyama waliopo kwenye kundi la Big 5 ambao ni Simba,Chui,Faru,Tambo na Nyati.Pia aliwataka warembo hao kutumia mashindano ya Umiss kama furusa kwao ya kubadilisha maisha yao kwa kutazama zaidi Furusa wanazo weza kukutana nazo kwa kupitia mashindano hayo .
View attachment 1130139Hifadhi ya Mkomazi ni Hifadhi ya NNE kwa ukubwa nchini Tanzania na inasifa ya kuwa na Wanyama aina ya Faru wengi.Warembo hao walifurahishwa Ukarimu wa wa hifadhi ya Mkomazi,Madhari nzuri ya hifadhi na wanyama wengi walio waona na kuahidi kuwa mabalozi wa kudumu wa hifadhi hiyo.
View attachment 1130140Warembo hao 22 wapo kwenye maandalizi ya kushiriki Fainali za Miss Arusha Zinazo Tarajiwa kufanyika tarehe 5/7/2019 Point Zone Jijini ArushaView attachment 1130135
wazuri kinoma..made in arushaView attachment 1130128Washiriki wa Miss Arusha mwaka 2019 wapatao 22 wamepata nafasi ya kutembela hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo Mkoani Kilimanjaro Wilayani Same na kupokelewa na mkuu wa wilaya hiyo Bi.Rosemary Senyamule na Mhifadhi mkuu wa Hifadhi hiyo ya Taifa Mkomazi Kamishina Msaidi Abeli Mdui .
View attachment 1130141View attachment 1130142Bi.Rosemary amewataka Warembo hao kuwa mabalozi wazuri wa hifadhi hiyo yenye vivutio vingi ikiwemo wanyama waliopo kwenye kundi la Big 5 ambao ni Simba,Chui,Faru,Tambo na Nyati.Pia aliwataka warembo hao kutumia mashindano ya Umiss kama furusa kwao ya kubadilisha maisha yao kwa kutazama zaidi Furusa wanazo weza kukutana nazo kwa kupitia mashindano hayo .
View attachment 1130139Hifadhi ya Mkomazi ni Hifadhi ya NNE kwa ukubwa nchini Tanzania na inasifa ya kuwa na Wanyama aina ya Faru wengi.Warembo hao walifurahishwa Ukarimu wa wa hifadhi ya Mkomazi,Madhari nzuri ya hifadhi na wanyama wengi walio waona na kuahidi kuwa mabalozi wa kudumu wa hifadhi hiyo.
View attachment 1130140Warembo hao 22 wapo kwenye maandalizi ya kushiriki Fainali za Miss Arusha Zinazo Tarajiwa kufanyika tarehe 5/7/2019 Point Zone Jijini ArushaView attachment 1130135
labda anatangaza utalii[emoji23][emoji23]... hivi kulikuwa na ulazima wa DC kuvaa nguo za chama?
flat screen tupuView attachment 1130128Washiriki wa Miss Arusha mwaka 2019 wapatao 22 wamepata nafasi ya kutembela hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo Mkoani Kilimanjaro Wilayani Same na kupokelewa na mkuu wa wilaya hiyo Bi.Rosemary Senyamule na Mhifadhi mkuu wa Hifadhi hiyo ya Taifa Mkomazi Kamishina Msaidi Abeli Mdui .