Basi na nauli kusafiri kutoka Mwanza mpaka Dumila

jeipm

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
500
820
Wanajamvi wezangu naomba kwa anae fahamu Nauli ya kutoka MWANZA hadi MOROGORO/ DUMILA moja kwa moja anijuze...

Na mabasi mazuri yanayohusika na mida yake ya kuondoka

Tafadhali......
 
Nauli ya mwanza_to morogoro, DSM ni mmoja;

Kama unapenda luxury panda Darlux nauli ni 50k.

Kama unataka uwahi mapema; panda gari hizi.

Panda kisbo 37k to 40 inategemeana na uzungumzaji wako.

Ardhi bus- 35k
 
Kiongozi na vip nikiwah asubh kukata tiketi kwenye basi lenyewe inakuwaje
 
Back
Top Bottom