josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 641
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
Naunga mkono hoja.Kilimanjaro,kidia one
Ingia Dar lux elf 40 Kuna choo cha ndani ya bus
Hapana usimshauri mtu vitu visivyo vizuriSAIBABA.😎😎😎
Nahisi ipo, 'farasi wa jangwani' gari zile ziko poa.Ivi Kuna tahmees ya dar Arusha
IpoIvi Kuna tahmeed ya dar Arusha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mount Meru Hotel?kilimanjaro hakika atasafiri bila shida, ukijichangaya ukampandisha mohamed trans kituo cha kwanza mount meru,
ipoIvi Kuna tahmeed ya dar Arusha
Hizo nyimbo ni za dini ipi. Maana huwa sipendi kusafiri huku nyimbo za dini zikipigwa na wakati kuna watu wa dini mbalimbali mle.Liendalo mwendo mzuri bila haraka + huduma nzuri +Nyimbo za dini =KILIMANJARO
mwendo wa wastani + huduma nzuri +Nyimbo za dini=Dar Express
Usafi ndani na huduma nzuri + free wife =DAR LuX
bei ya kawaida + huduma kawaida+Katooni = Ngorika/Buff
bei ya kawaida + huduma kawaida+video za bongo movie=
NB: .....Chamsingi Ufike Salamaa....hayo mengine Mipango ya Mungu
hotel alingeeee!!!!, ni hospital mzee, maaana ile gari unavyoruka ikiingia kwenye shimo unafika mwisho wa safari viungo vyote huko ndani kuanzia tumbo, figo, firigisi, maini, moyo mpk roho vinahamia shingoni, kwaio inabidi uende moja kwa moja hospital wakaanze kazi ya uumbaji upya tena, hapo sijazungumzia huko chini kibiti.... Km kutakua salama, maana Kila ikiinhia kwenye shimo/tuta lazima uende juu ukishuka km hujaachia gogo shukuru.[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mount Meru Hotel?
Atatoka Ars saa 12 asubuhi afike dar saa 5 usiku.SAIBABA.😎😎😎
Free wife.Liendalo mwendo mzuri bila haraka + huduma nzuri +Nyimbo za dini =KILIMANJARO
mwendo wa wastani + huduma nzuri +Nyimbo za dini=Dar Express
Usafi ndani na huduma nzuri + free wife =DAR LuX
bei ya kawaida + huduma kawaida+Katooni = Ngorika/Buff
bei ya kawaida + huduma kawaida+video za bongo movie=
NB: .....Chamsingi Ufike Salamaa....hayo mengine Mipango ya Mungu
Mbona saibaba ipo poa tu aisee...Hapana usimshauri mtu vitu visivyo vizuri
labda wana gari mbovu na nzuri.... nilipanda april kwenda moshi tulitoka saa 3 ubungo saa 11 nilikuwa moshi.Atatoka Ars saa 12 asubuhi afike dar saa 5 usiku.
Shukuru Mungu Haikuharibika njiani.Mbona saibaba ipo poa tu aisee...
labda wana gari mbovu na nzuri.... nilipanda april kwenda moshi tulitoka saa 3 ubungo saa 11 nilikuwa moshi.