App ya E television

App ya E television

wakatanta

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
2,593
Reaction score
3,161
Kama kichwa cha habari nifanyaje ill niipate app ya E TV inayopatikana dar Tanzania.
Nikijaribu kupitia play store option ya hiyo TV haionekani.
Zinazo onekana clouds TV, azam, na nyingine nyingi.
Msaada tafadhali kwa anaeijua njia ya kuipata
 
Back
Top Bottom