Opera news

Opera news

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
64
Reaction score
70
Hivi kuna haja ya kuwa na hiyo kitu inaitwa opera news kama una jamii forum? Maana habari zote za huko zinatoka jamii forum.
12.jpeg
 
Hii opera news app nani anaimiliki?
Naona inatangazwa sana, simu nikiwasha data tu linatokea tangazo ni download opera news
Kwenye startimes nako hivyohivyo
 
Moja kati ya browser za kijinga kabisa kuwahi kutokea Duniani ni opera mini na kuzihilisha upuuzi wao (hao opera mini) wameamua kutuletea hili (app) li opera news

Kwanza kabisa kama una app ya Opera mini wanakulazimisha kuwa na hilo li Opera News yaani unashituka tu app unayo hata kama hukuidownload

Notification kama zote kila mara wanakutumia, habari hazieleweki, harafu hata browser yao yenyewe haina nguvu, ndo maana me kuepusha usumbufu nimeitoa app yao (Opera Mini) kwenye simu yangu

Nikaweka mnyama mmoja anaitwa Google Chrome
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha mbali sana na hiyo picha.
Huyo demu anaitwa patience munanka,ni raia wa botswana au angola, nakumbuka alikuwa demu wa kwanza kuchart naye facebook baada ya kujiunga na mtandao huo[emoji16][emoji16][emoji16]

Siku zinaenda kasi sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha mbali sana na hiyo picha.
Huyo demu anaitwa patience munanka,ni raia wa botswana au angola, nakumbuka alikuwa demu wa kwanza kuchart naye facebook baada ya kujiunga na mtandao huo[emoji16][emoji16][emoji16]

Siku zinaenda kasi sana.
hii picha ilitumiwaga na matapeli wamoja hivi eti walitaka kunitapeli dolla 12k. Kumbe mwenzao nilishwashtukia nikawa nawachora tu.
 
Huwezi ifananisha opera newz na kijamiiforum
 
Back
Top Bottom