Anaejua mambo haya kuhusu Kenya anisaidie tafadhari

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habari wadau naomba mnisaidie mambo haya,Kenya kuna vyama vingapi vya siasa? Je ni kweli Kenya hakuna chombo kama Sumatra bei za usafiri wenye chombo ndiyo waamuzi?,hiki kinachozungumzwa kati mh ruto na mh kenyata jee wako vyama tofauti baina yao?
 
Back
Top Bottom