Wanaume wa kusini wanaotokea mtwara/lindi ni wepesi kuoa ila wepesi kutoa talaka

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Naendelea na research ya mambo ya kijamii.
Wanaume wa kusini wanaotokea mtwara/lindi ni wepesi kuoa ila wepesi kutoa talaka na km wameacha mtoto uwa hawakai nae anabaki kwa mama/bibi.
Utafiti wangu nimeufanyia shule mbali mbali watoto wengi hawakai baba na mama.
Na hii imekuwa km tabia hata km akiishi mwanza ni hivyohivyo.
Wahusika mjirekebishe haipendezi mtoto kumwachia bibi/mama yake mchukue mlele.
 
NAUNGA MKONO HOJA. KWETU NI HUKO NAMI NIMELELEWA NA MAMA KAMA ALIVYOTOA MLETA MADA.
 
Ila kuna watu wana hasira na sperm donors. Sijui walifanywa nini
Mkuu Mimi ni mwanaume kwaiyo kua na hasira na sperm donors Wala hata haiwezi kua

Ila najaribu kuonyesha hali halisi kwamba wengine miongoni mwetu ni hao sperm donors

Kwangu Mimi hii tabia ya kua donor wa sperm siiungi mkono kwa sababu ya madhara wanayoyapata watoto na wale wanaoachiwa huo mzigo wa kulea

Wito : Kila mtu atimize majukumu yake ukiwa ndo umempa mimba binti hakikisha unalea watoto wako usimwachie mwingine majukumu yako !!!
 
Sawa mkuu

Ila niliona sehemu fulani dada mmoja akiwa diss sana hao wanaoitwa sperm donors.
 
Naendelea na research ya mambo ya kijamii.
Wanaume wa kusini wanaotokea mtwara/lindi ni wepesi kuoa ila wepesi kutoa talaka na km wameacha mtoto uwa hawakai nae anabaki kwa mama/bibi.
Utafiti wangu nimeufanyia shule mbali mbali watoto wengi hawakai baba na mama.
Na hii imekuwa km tabia hata km akiishi mwanza ni hivyohivyo.
Wahusika mjirekebishe haipendezi mtoto kumwachia bibi/mama yake mchukue mlele.
Ki kweli nimeish pande hzo hbr ndio hyo
 
Mkuu hili hali hitaji utafiti hata kidogo mbona nikawaida tuu wanaume wakusini hawana uchungu na mtoto

Back
Top Bottom