Kesi yangu imesogezwa mbele tena mpaka tar.18/4/2018

Lazima ukanyee debe wewe, mwalimu usiyejitambua. We kwa mitusi ile lakini bado uko uraiani!
 
Sijui tatizo lakini na mwachia Mungu

ndimi
DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
Hivi wewe unadhani Kutoa Mba kichwani ni haki yako kikatiba au ni utashi tu??
Kwani ungeitimiza kimya kimya kungekua na shida?
Nani aliekuzuia kwani mpaka ukaandika vile??
 
Unamwachia Mungu kwa yale matusi? Sasa subiria kwenda jela ukatiwe adabu,
Ungemwachia yule shetani aliyekutuma kufanya ule ujinga huenda angekusaidia kama alivyokushawishi kutukana matusi ya nguoni lakini kama unamwachia Mungu huyu tunayemuabudu subiria majibu yake.
 
Kwan deo ni kosa gani ulifanya mkuu maaana mimi sijui chanzo cha wewe kuwa matatani ila pole sana kaka maana maishs kwa sasa yanachangsmoto nyingi sans
 
Sijui tatizo lakini na mwachia Mungu

ndimi
DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
Ulistahili kua jela tena zile jela kubwa kubwa( central prisons) Kama Butimba, Ukonga na Maweni huko ungefanywa mpaka akili yako irudi.

Mtu mzima kabisa unaandika upuuzi kabisa, tena una watoto, unadhani watoto wako wakisoma lile bandiko lako la Fb watajisikiaje au watajionaje mbele ya jamii?

We ufungwe tu
 
Back
Top Bottom