KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,558
- 1,928
Salaam wanabodi!
Naomba Mods msiunganishe uzi. Wakuu mimi ni mdau wa RFA kwa zile saa ambazo hua wanajiunga na BBC na DW, sasa leo ni siku ya tatu kama sikosei siwapati hewani,
Mwanzoni nilidhan ni frequency za mkoa niliopo lakini nimehama mikoa mitatu ndani ya siku hizi tatu na mpaka sasa ninavyoongea hawapo hewani kabisa.
Je, inawezekana kweli huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa Anthony Dialo mwana wa CCM kutoka Mwanza? Au wamebadilisha Frequency mimi sijui?
Naomba kama kuna frequency nyingine basi mtupie hapa ili tujue namna ya kuwapata.
Wasalaam
kidudu