Son Of JPM
Member
- Jun 24, 2019
- 10
- 4
Mkuu wa Chuo cha serikali za mitaa kilichopo Dodoma ameamua kuwa tapeli jumla jumla yeye na uongozi wake wote. Wiki iliyopita tulimuonya kuhusu kulipisha watu ambao wamechaguliwa na serikali moja kwa moja kujiunga na Chuo. Leo tena ameamua kuwa kiziwi.
Hivi hicho mnachoita medical capitation si ndio Bima ya afya. (NHIF) ambayo mmetoza 60400/-. Hebu acheni wizi na utapeli maana NHIF huwa wanawarudishia nyie 5% ya mnachokusanya kama ada ya Bima sasa kwanini muwaongezee wateja wenu na kuibadili jina??
Huo ni utapeli na leo tena tunawakumbusha kubadilisha hiyo joining instructions na muache Bima ya afya iwe 50400/- wala msiite medical capitation mkiendelea tutamuandikia barua mh rais kuonyesha maovu yenu maana mmezidi.
Am son of JPM.