Hance Bange
Member
- May 13, 2018
- 18
- 7
Kuchelewa ni miongoni mwa tabia ambazo hutukosesha matunda ya kuwahi kufanya jambo.
Ni muhimu sana kujitahidi kujenga tabia ya kuwahi kufanya jambo lililokusudiwa kwa dhamiri yako.
Mambo mawili ambayo ninaona yanatuchelewesha waafrika hasa watu wanaoishi vijijini ni:
1. Imani ya kishirikina.
2. Mila na desturi potofu.
Siku moja, Mkuu wa wilaya ya wanging'ombe alikuwa akiendesha mkutano.Jogoo akajitokeza na kuwika katikati ya kundi la watu.Meza ikampotezea.Watu wanajamii waliendelea kujihoji ni nini maana yake? Eti, aaah! haijawahi kutokea.
Ni wakati wa kujenga tabia ya kuwahi kwa kila jambo.Iwe kanisani, mkutanoni, kuwahi kurudi nyumbani, tena;
TUFANYE HARAKA KUONDOA MITAZAMO HASI, TUSICHELEWE.Hasa katika kipindi hiki kigumu cha mageuzi ya kiuchumi.