Hii ndiyo sifa ya juu kabisa na kuu ya kiongozi wa Kidini, Siasa, Taasisi,Kampuni. Ukikosa hii mengine yote ni Bure

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Sifa kuu ya kiongozi hata kama ni kiranja sio Kufanya vitu, kutoa amri, kupendwa, kuwa na wafuasi wengi.

Sifa kuu ni kuwafanya waliochini yako kuwa na uwezo wa kuongoza ikiwezekana kuliko wewe ili ikitokea wewe haupo basi maendeleo yadumu kwa Muda mrefu.


Ukipanga au ukitarajiwa kuwa kiongozi alafu hili huna unakuwa umefeli kabla hujaanza kuongoza.
 
Back
Top Bottom