Walioanza maisha mikoani na wakafanikiwa!

Walioanza maisha mikoani na wakafanikiwa!

Doctor Chriss

New Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Vijana wenzangu pamoja na wakubwa zangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
 
Nyete Naona umerudi kivingine huku siku hizi hatusaidiani wala kuchangiana matapeli mmekua wengi
 
mcheki member Gluk alisema tagawa bure chumba kwa anayehitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom