TANESCO na interview za udereva kuna dalili za Rushwa

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
804
1,318
Kinachoendelea ni dalili za rushwa watu kuweka watu wao. Mtaalamu wa NIT aliwafanyisha practical ya uendeshaji, akamaliza vijana wakachaguliwa. Wakawa wanasubiri ORAL interview.

Leo ameondoka huyu mtaalamu wa NIT, wakawa wamekosa nafasi ya kuweka vijana wao, huku nyuma wameanza upya zoezi hilo kwa njia ya udanganyifu eti wanataka kuwapima tena.

Ni udanganyifu wa kuweka watu wao!
Nani aisimamie haki itendeke? Usalama wa taifa liangalie hili. Takukuru ni wenzano, hawaa msaada!
 
Kwa hali ilivyo sasa bhita ni bhita. Muandikie barua mkurugenzi, wakopi viongozi wa serikali wenye kupenda media coverage, maaara moja utaona majina ya awali yamerejeshwa.
 
Kinachoendelea ni dalili za rushwa watu kuweka watu wao. Mtaalamu wa NIT aliwafanyisha practical ya uendeshaji, akamaliza vijana wakachaguliwa. Wakawa wanasubiri ORAL interview. Leo ameondoka huyu mtaalamu wa NIT, wakawa wamekosa nafasi ya kuweka vijana wao, huku nyuma wameanza upya zoezi hilo kwa njia ya udanganyifu eti wanataka kuwapima tena.Ni udanganyifu wa kuweka watu wao!
Nani aisimamie haki itendeke? Usalama wa taifa liangalie hili. Takukuru ni wenzano, hawaa msaada!
Je unazungumzia nafasi ya wapi? Zilitangazwa nyingi tunaomba ufafanuzi zaidi na majina ya hawo uliotuhumu kuwa wamewekwa hata inbox
 
Tanesco Ni kawaida yenu banaa.... Mpaka uwe na ndugu yako pale officn kwao ndo utapata hata hizi ST..... Juzi hapa walikua na written interview lkn duh
Una ushahidi? Leta ushahidi au toa kwenye vyombo vya dola kuliko kutoa tuhuma ambazo wakati mwingine hata kazi haujawahi kuomba kwenye shirika unalolalamikia
 
Mrejesho wa swala lako

Tunapenda kukujulisha kuwa wataalamu uliowataja hapo juu bado wapo na wanaendelea na kazi hiyo.Hata hivyo bado usahili unaendelea na matokeo hayajatoka kama una lalamiko lolote leta taarifa inbox au tumia vyombo vinavyovyotambulika badala ya kutoa tuhuma bila ushahidi.
 
Una ushahidi? Leta ushahidi au toa kwenye vyombo vya dola kuliko kutoa tuhuma ambazo wakati mwingine hata kazi haujawahi kuomba kwenye shirika unalolalamikia
Hongera sana Afisa habari wa TANESCO, angalau kwa kuchukua muda wako kujibu tuhuma dhidi yenu kwenye mitandao ya kijamii! Natamani natamani taasisi nyingine za umma kama Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu, nk kuiga mfano wako.
 
Tunawashukuru sana wapendwa wateja wetu.
 
Una ushahidi? Leta ushahidi au toa kwenye vyombo vya dola kuliko kutoa tuhuma ambazo wakati mwingine hata kazi haujawahi kuomba kwenye shirika unalolalamikia

Duh hili jibu mbona la ajabu sana kuandikwa na muwakilishi wa kampuni?

Umejibu kibinafsi kama vile unaogopa kuna kitu watu wasiwe huru.

Wewe unataka majina ya watu inbox, kwanini mnapojibu humu hamuandiki majina yenu mwishoni wa post zenu.

Unaweza kuwa wale wale.. tena wewe/nyie ndio mnaweza kuwashitaki walalamikaji au hata kupanga kuwaambia wahusika uwasaidie usipeleke malalamiko nanyi mpokee chenu.

Jifunzeni lugha ya kuwasiliana na wateja... kamwe huwezi jibu hivi hata kama unajua yameisha tokea.

Toeni majina wazi kila hatua.

Kwa majibu yako haya.. muanze kuandika majina yenu fuli. Mchunguzwe nyie kikazi
 
Ndugu mpendwa mteja wetu tunaomba ushirikiano wako ili unacholalamikia kifanyiwe kazi kwa karibu zaidi. Tupo tayar kukusikiliza na kukupa ushirikiano
 
Sasa hii copy and paste si ndio umeharibu kabisa. Nimeshawashauri hapo.. ushirikiano wangu upi tena unahitaji huku nawasaidia kuwafundisha tena bureeeee!!!!
Mkijibu mfikirie na kujua wengine humu tumechoka kusoma blah blah zenu zingine. Seriously umejibu hayo badala ya kushukuru hata kwa ushauri niliowapa na nyie ndio muufanyie kazi!!!!!
 
Umetoa tuhuma mpendwa mteja wetu ingependeza ukatoa ushahidi wako ili tuanzie hapo kuchukua hatua.
 
Tuhuma, ushauri vyovyote unavyotaka kuita. Umesha hukumu ni tuhuma ha ha ha haaaaa.. unarudi kule kule CS yenu ni majanga. Nacheka bado ile ya mwanzo ipo hata ukijaribu kujibu kiupole.. usibishie ushauri... bora unyamaze.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom