haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,575
- 3,888
1- huwezi kukataa kupanda mwendo kasi mbez kisa hakuna siti, then unasimama kusubir gari jengine zsidi ya dk 15 na kuendelea..
2. Unatumia smartphone then unashindwa kusave namba kwenye google contacts au cloud backup yoyote af cm ikipotea unadai namba zote hazipo.
3- una google drive au Dropbox unashindwa kuscan documents zako muhimu ukaweka, ni matumiza mavaya ya smartphone.
4- unaandaa sherehe mwenyewe then unasumbua watu michango