Dhararu za Wasomi

Dhararu za Wasomi

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,309
Reaction score
3,447
Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..

Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau sana hasa pale wakipata kazi nzuri.. Kwenye familia kama mtu akitoa maoni huwa wanaona ni maoni ya kimaskini ... Naomba Mungu anisaidie nisiwe hivyo..

Hapa waondoe madaktari, madaktari hawana majivuno sana nahisi kwasababu ya mazingira yao ya kazi

Wanafunzi wa IFM wana maringo sana ukilinganisha na wanafunzi wa KCMUC wanasomea udaktari

....... Nasikia DAB alisomea MUCCOBS..anyways

Hata hapa jf, watu wana dharau sana.. Kiongozi akiwa ni yule anae waambia watu wamesomea ujinga..

Watu wengi humu ni wajuaji sana, alafu wanajua kila kitu...

#sioLazimaUelewe
 
Pesa ndio kila kitu na nitazisaka daima

Huyu DAB ni tabia ya kwao haihusiani na MUCCoBS.
 
Hata kama hutaki nielewe nimeielewa tu. Kuna uwezekano,wasomi wengi wana dharau hata kama hana hela wala kazi nzuri,wengi wamejawa na dharau,lakini hiyo kwa wasomi wa Tanzania tu ndio wenye tabia hiyo.
 
Mkuu... Kama wasipopata kazi huwa wanajifunza maisha na dharau zinapungua
 
Mkuu ,ukiwa na pesa hao waliosoma mbona watakupigia magoti

Tafuta hela mkuu unakwama wap
 
Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..

Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau sana hasa pale wakipata kazi nzuri.. Kwenye familia kama mtu akitoa maoni huwa wanaona ni maoni ya kimaskini ... Naomba Mungu anisaidie nisiwe hivyo..

Hapa waondoe madaktari, madaktari hawana majivuno sana nahisi kwasababu ya mazingira yao ya kazi

Wanafunzi wa IFM wana maringo sana ukilinganisha na wanafunzi wa KCMUC wanasomea udaktari

....... Nasikia DAB alisomea MUCCOBS..anyways

Hata hapa jf, watu wana dharau sana.. Kiongozi akiwa ni yule anae waambia watu wamesomea ujinga..

Watu wengi humu ni wajuaji sana, alafu wanajua kila kitu...

#sioLazimaUelewe
kwa sababu hawapigii kura chama chako au?
Kusoma ni kujifunza na kujifunza ni kubadilika
Kama umesoma halafu upo vile vile kapimwe mkuu
Wewe unachukia wajuaji? unataka watu wa ndio mzee.
Binadamu anapenda uhuru hivyo akisoma anajua kidogo haki zake ,hivyo lazima awe mbishi na kuhoji
 
Unaanza kuleta siasa....ivi kama mtu amesoma basi akipita mbele ya wazee wasio na Elimu haina haja kuwasalimia?
 
Hii vita ya asili kati ya wasomi vs wasiosoma sijui itaishi lini!!!
Ni sawa tu na zile ligi za warefu vs wafupi, wanene vs wembamba
My take: Dharau ni hulka tu ya mtu haijalishi kasoma au la...
 
CC: King musukuma,,hivi huyu nae ana Bachelor?? Mbona ana dharau kilo mia
 
eti shule ulienda kusomea ujinga.
 
Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..

Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau sana hasa pale wakipata kazi nzuri.. Kwenye familia kama mtu akitoa maoni huwa wanaona ni maoni ya kimaskini ... Naomba Mungu anisaidie nisiwe hivyo..

Hapa waondoe madaktari, madaktari hawana majivuno sana nahisi kwasababu ya mazingira yao ya kazi

Wanafunzi wa IFM wana maringo sana ukilinganisha na wanafunzi wa KCMUC wanasomea udaktari

....... Nasikia DAB alisomea MUCCOBS..anyways

Hata hapa jf, watu wana dharau sana.. Kiongozi akiwa ni yule anae waambia watu wamesomea ujinga..

Watu wengi humu ni wajuaji sana, alafu wanajua kila kitu...

#sioLazimaUelewe
Wewe mutu mujinga unajua hii kitu inaitwa jamii forum imetengenezwa na wasomi halafu hako kasimu unakotumia kametengenezwa na wasomi? wewe nenda shule acha hoja dhaifu na pelepeche
 
Mimi mwenyewe nimesoma...
 
Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..

Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau sana hasa pale wakipata kazi nzuri.. Kwenye familia kama mtu akitoa maoni huwa wanaona ni maoni ya kimaskini ... Naomba Mungu anisaidie nisiwe hivyo..

Hapa waondoe madaktari, madaktari hawana majivuno sana nahisi kwasababu ya mazingira yao ya kazi

Wanafunzi wa IFM wana maringo sana ukilinganisha na wanafunzi wa KCMUC wanasomea udaktari

....... Nasikia DAB alisomea MUCCOBS..anyways

Hata hapa jf, watu wana dharau sana.. Kiongozi akiwa ni yule anae waambia watu wamesomea ujinga..

Watu wengi humu ni wajuaji sana, alafu wanajua kila kitu...

#sioLazimaUelewe
Dharau si mbaya kama kinachodharauliwa kinastahili kudharauliwa.

Mtu akikudharau kwa sababu umekaa katikati ya mavi, dharau yake inaweza kuwa ni kitu unachohitaji ili kujifunza kwamba umekaa katikati ya mavi, na kusafisha sehemu uliyopo.

Asiyekudharau, inawezekana hakusaidii, kwa maana hakupi changamoto ya kujifunza na kujiondoa katika ufukara.

Kitu kibaya ni dharau isiyo na viwango wala vipimo kwa kitu kisichostahili dharau.
 
Back
Top Bottom