Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

👉 1. Bay of Pigs (1961) - CIA ilipanga kuuangusha utawala wa Fidel Castro kwa kutumia majeshi ya wahamiaji wa Cuba waliokuwa uhamishoni. Operesheni ilifeli vibaya baada ya Cuba kujua mapema na...
2 Reactions
3 Replies
190 Views
Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
12 Reactions
100 Replies
996 Views
Mei 29, 2026 Mdau aliandika “Pemba: Nyama ya msaada iliyotolewa na Wabunge imebainika haifai, kuna watu wameingia nayo mtaani, Mamlaka zipo kimya” Hoja ya awali ~ Pemba: Nyama ya msaada...
2 Reactions
3 Replies
214 Views
Sherehe ya Vesak. Ni birthday ya Buddha. Ndiyo Christmas. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
8 Reactions
24 Replies
411 Views
1. Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na kwa kuniumba mwanaume na sio Mwanamke kila siku. 2. Nawaombea wanaume wote waliotengana na familia zao au walioacha majukumu yao warudi kwenye...
2 Reactions
3 Replies
115 Views
Jana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa meter kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea, kwa mbali...
9 Reactions
26 Replies
465 Views
Dogo alikua mwanachuo akiishi temeke, siku Moja akielekea chuo, akiwa kituoni anasubiri usafiri, alikutana na bibi Mmoja, huyo bibi alionekana ni mtu wa busara. Ndipoa alipo mhoji usafiri wa...
2 Reactions
43 Replies
671 Views
kama umegundua Watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara au sekta nyingine mbalimbali, wakifika umri mkubwa hasa miaka 60 na kuendelea, wanaanza kuhamishia nguvu zao kwenye kilimo. Mfano, Shabiby...
6 Reactions
24 Replies
456 Views
Ukienda kwenye tovuti za benki kuu, majarida, matangazo au habari zinazohusu fedha, mara nyingi utakuta picha ya noti imeandikwa neno kubwa la "SPECIMEN" katikati. mbona vitu vingine vya thamani...
0 Reactions
4 Replies
179 Views
Maegesho holela ya malori katika eneo la Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam yameendelea kuchangia msongamano wa magari na kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara, hali iliyosababisha Wakala...
2 Reactions
0 Replies
239 Views
Hivi bado watu wakistaafu watapewa 40M na hali ya maisha ilivyo ? Utumishi au utumwa
12 Reactions
40 Replies
937 Views
Watu wa nchi nyingine hata ambao tuko nao dunia ya tatu developing countries wanatuzidi kutumia smartphone katika shughuli zao za kazi za kila siku mpaka kwenye zile kazi za chini kabisa. Kwao...
3 Reactions
2 Replies
111 Views
Demokrasia ni formula inayotumika kusimamia na kuratibu taratibu zote za Dola kwa Dunia ya sasa. Misingi ya Demokrasia imeweka utaratibu Uvumilivu wa kisiasa,utawala wa kisheria na haki ya kupiga...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR)...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Inajulikana kuwa nchi za Mashariki ya Kati zimejengewa misingi ya Ustaarabu wa kidini tangu enzi na tunapozungumzia dini tunajumuisha Ustawi na utulivu wa Mwanadamu. Migogoro ya kihistoria...
0 Reactions
8 Replies
140 Views
Juni 11, 2026 ni siku inayotarajiwa kugawa hisia na mijadala ya umma, kwani matukio matatu muhimu yenye mguso mkubwa kwa wananchi yanatarajiwa kufanyika siku hiyo, endapo ratiba hazitabadilika...
0 Reactions
4 Replies
186 Views
Kwa uchunguzi wangu nimekuja kugundua wanawake siyo wabunifu na ni wavivu wa kujiongeza. Yaani ni kama hawafanyi mambo kwa kujiongeza. Mfano anaweza kushindwa hata kupachika laini ya sim au Au...
6 Reactions
10 Replies
163 Views
Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuzuia ndege za shirika la ndege la Air Tanzania kuingia katika anga la nchi wanachama wake, jumla ya nchi 28, kwa madai kuwa shirika hilo halijakidhi vigezo vya...
15 Reactions
172 Replies
9K Views
Basi bwana, kuna mzee mmoja alitoka kijijini akafikia kwa wanawe Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya hapa na pale. Kwa kuwa familia hii ni majirani zetu na pia ni watu wa kuficha mambo yao...
2 Reactions
1 Replies
150 Views
Yani Kwa mfano,wewe kijana unaenda kuoa mama mtu mzima mjane, huyu mama umemkuta ana binti mkubwa tayari mtu mzima. Baba yako nae anaamua kumuoa binti wa huyo mama. Hapo yule binti yako wa kambo...
7 Reactions
17 Replies
251 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…