Wakristo na Serikali Madhara ya huyu jamaa na mambo yake ni makubwa sana

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nlikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye ni dini ya kikristo tukizungumzia mambo mbalmbal ya kijamii na kisiasa

Moja ya mambo ambayo tulizungumzia ni kuhusiana na huyu anayejiiya. Nabii TITO.
Ni wazi kuwa huyu bwana either kiakili hayupo vizuri kichwani ama ameamua kutoka kwa style hiyo katika harakati za kutafuta umaarufu.

Nlimwambia jamaa yangu "ninyi wakristo ni watu ambao mnakuwa laiser fair sana, mtu anatumia Biblia yenu kuwatukanisha na hamjamfunza adabu?"

Jamaa alinijibu kwa upole sana huku akitabasamu " ukristo haupambani na mtu, vita vya wakristo si damu na nyama...ila nguvu inayomfanya mtu awe na uovu,the spirit.so hatuwezi mdhuru mwili wake sisi tunapambana na roho inayomfanya awe hivyo"

Kiukwel sikuridhika. Huyu nabii tito anapaswa akamatwe achapwe bakora sana. Maana ni wazi ameamua ku promote ushoga akijifanya anaupinga kuwa sasa hashiriki tena.

Mhuni Tito anapaswa aangaliwe na serikali.michezo anayofanya na promotion si vya kawaida.je watoto wetu wanajifunza nini? Je waandishi wa habari hawaoni kuwa jamaa hana maudhui sahihi hivyo wangempuuza?

Screenshot_20190709-145540~2.png
Screenshot_20190709-145551~2.png
Screenshot_20190709-133609~2.png

Serikali inataka watoto wajifunze nini toka kwa huyu mgonjwa wazimu? Nashindwa walaumu waandishi wa habari sababu asilimia 80 ya waandishi wa habar hawana elimu au niseme wana upeo mdogo sana wa kuchuja mambo.

Hawaoni athari ya airtime wanayompa huyu bwana kwenye social media mbalimbali.lakini kiuhalisia hakupaswa kabisa kuachwa afanye upotoshaji anaoufanya kwa kisingizio chochote.

Nafaham katika ukristo Ushoga/Ufiraji umepigwa marufuku kwa herufi kubwa pasipo kuuma uma maneno. Sasa huyu jamaa shoga anayejiita nabii...anatumia Biblia kwa nini msimchape bakora? Madhara na sumu anayosambaza ni kali sana...inaua polepole.
 
Baada ya mwaka 2025 social media ndio itashika nafasi ya mainstream media. Na kinachompa airtime bwana Tito ni social media ambayo kwa nyakati hizi imekuwa na nguvu kuliko mainstream media.
 
Hata nyie maustaadhi mtusaidie kutandika bakora, kiukweli mimi binafsi ananikera sana ila sina namna! Anaharibu jamii yetu halafu kuna media zinampa airtime za kijinga jinga!

Sijawahi kukutana nae ana kwa ana lakini anastahili bakora aise!
 
Alikujibu sahihi kabisa. Vita siyo yetu, vita ni ya Mungu.
Kwahiyo Mungu ndo atajua ni kipi anastahili . Wakristo hatujafundishwa kuhukumu na kutoa Adhabu kama sifa ya kumtetea Mungu.

Serekali ndiyo imshuhulikie, sisi wakristo tunamwombea Tuu.
#sote ni wa Mungu.
 
Nlikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye ni dini ya kikristo tukizungumzia mambo mbalmbal ya kijamii na kisiasa

Moja ya mambo ambayo tulizungumzia ni kuhusiana na huyu anayejiiya. Nabii TITO.
Ni wazi kuwa huyu bwana either kiakili hayupo vizuri kichwani ama ameamua kutoka kwa style hiyo katika harakati za kutafuta umaarufu.

Nlimwambia jamaa yangu "ninyi wakristo ni watu ambao mnakuwa laiser fair sana, mtu anatumia Biblia yenu kuwatukanisha na hamjamfunza adabu?"

Jamaa alinijibu kwa upole sana huku akitabasamu " ukristo haupambani na mtu, vita vya wakristo si damu na nyama...ila nguvu inayomfanya mtu awe na uovu,the spirit.so hatuwezi mdhuru mwili wake si neno"

Kiukwel sikuridhika. Huyu nabii tito anapaswa akamatwe achapwe bakora sana. Maana ni wazi ameamua ku promote ushoga akijifanya anaupinga kuwa sasa hashiriki tena.

Mhuni Tito anapaswa aangaliwe na serikali.michezo anayofanya na promotion si vya kawaida.je watoto wetu wanajifunza nini? Je waandishi wa habari hawaoni kuwa jamaa hana maudhui sahihi hivyo wangempuuza?

View attachment 1149822View attachment 1149823View attachment 1149824

Serikali inataka watoto wajifunze nini toka kwa huyu mgonjwa wazimu? Nashindwa walaumu waandishi wa habari sababu asilimia 80 ya waandishi wa habar hawana elimu au niseme wana upeo mdogo sana wa kuchuja mambo.

Hawaoni athari ya airtime wanayompa huyu bwana kwenye social media mbalimbali.lakini kiuhalisia hakupaswa kabisa kuachwa afanye upotoshaji anaoufanya kwa kisingizio chochote.

Nafaham katika ukristo Ushoga/Ufiraji umepigwa marufuku kwa herufi kubwa pasipo kuuma uma maneno. Sasa huyu jamaa shoga anayejiita nabii...anatumia Biblia kwa nini msimchape bakora? Madhara na sumu anayosambaza ni kali sana...inaua polepole.
Tungekuwa na hayo mambo ya kuchapa tungeanza na wale jamaa wanaolazimisha kuwa lazima wao ndio wachinje
 
Wewe mwenyewe sio i tofauti yako na hao waandishi unaowasema hawana elimu, wanachokifanya kumpa airtime huyo chizi maarifa na wewe ndio unakifanya vilevile....unge ignore hii kitu ningekuona wa maana
 
Huyu anatumikishwa
 
Hamna mwandishi anae chukua habar za huyu mbweha tito hao ni watu wenye channel za youtube wao wanaweka kila kitu ilimradi wapate views wapige hera, mtifautishe youtubers na waandishi ea Habari, kwanza youtubers 99% watuna elimu wala skills za uandishi wa habari.
Ulikiwa hujui kuwa waandishi nao ni hamnazo???
 
Huyu alishikishwa adabu wakti fulani akawa ameandamwa na vyombo vya dola. Kitu kilichomfanya arudi tena nadhani ni baada ya lile sakata la Makonda vs US/EU juu ya Ushoga akaona amepata upenyo na kama mtakumbuka Ushoga haikuwa miongoni mwa ajenda zake. Ajenda zake kuu ilikuwa Ulevi na Uzinzi. Watu kama hawa si wa kuwachukulia kirahisi rahisi kumbukeni Mbu wa Malaria anauwa watu wengi duniani kuliko Simba ingawa Mbu ni mdogo
 
Ukisikiliza anavojibu maswali kwenye hiyo clip unachoka kabisa.eti anasema mkewe ndo kamfanyia hiyo make up.huyu apelekwe gereza korofi huko akae wiki tu, watu Wana maugumu kule watamshughulikia mpaka aipate fresh shenzi kabisa
 
Jina langu unalitumia vibaya.huyo ni mwendawazimu usimwite chizi maarifa ni kuniharibia jina langu.

Mwandishi asingeandika mimi nisingefahamu hivyo nashukuru kwa yeye kuandika nimefahamu kuna watu wapuuzi wanaachwa tu kutamba mitaani na kujiita manabii.

Back
Top Bottom