Mara nyingi huwa naona tatizo la tafsiri kauli ikitoka lugha nyingine mfano kiingereza kuja kwenye kiswahili.Habari ikitafsiriwa huwa haikai sawa huwa inaleta ukakasi fulani.Sijajua tatizo ni...
Kwa taarifa iliyotolewa na acacia wamedai kwa sasa shirika liko vizuri na hiyo pesa wanayotaka kupewa na Barrick ajimilikishe hisa zote wanadai ni chache. Ili kuthibitisha hilo walimtafuta mshauri...
Habari zenu wakuu!
Nina binti yangu amemaliza kidato cha sita 2019
Matokeo yake:
General Studies E,Geography D,Chemistry E,Biology E na BAM E. DIV III point 14.
Naomba kujua je anaweza kupata...
Mkuu wa wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Mustafa Kitwana amempa saa 48 kuhama Zanzibar
mmiliki wa Baa Bi.Salome John mwenyeji wa
Tanzania bara baada ya kujihusisha na bishara
haramu ya binadamu...
Walifahamika Kama "Amazon Guards " wanawake shupavu Sana Hawa, mwenye kujua walienda wapi na wako wapi kwa sasa ,au taarifa yoyote kuwahusu atujuze tafadhali
Barrick is pleased to confirm that, having so requested of the board of Acacia and following a subsequent request from Acacia to the UK Takeover Panel, the Panel has, under Rule 2.6 (c) of the...
Hawa jamaa nimekuwa nikiwaangalia kila nikipita kwenye vijiwe vyao.
wengi unakuta ni vijana wenye afya, wakakamavu.
Ni mara chache sanamutamkuta muendesha bodaboda kakondakonda au anaafya zembe...
Kwenye familia za kizungu mzazi kugonga kwenye room ya wanawe wa jinsia tofauti imekuwa ni utamaduni tofauti na kwenye familia zetu za kiafrika mzazi huingia bila hodi.
Baadhi ya watu wameona ni...
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha mh Catherine Magige ameendelea na ziara yake ya kikazi leo wilayani Monduli. Akiwa kata ya mto wa mbu mbunge alikutana na baraza kuu la UWT wilaya monduli...
Mwandishi wetu,Arusha
Wakati Mamlaka ya Mapato nchini(TRA) ikifanya mabadiliko ya kiutendaji kwa watumishi wake mbalimbali nchini utata umeibuka mkoani Arusha ambapo aliyekuwa meneja msaidizi...
Kama alikuwa na mipango kikubwa ya kuibadilisha Chato, angeanza kupeleka vijana 50 wa Chato vyuoni tangu 2015 alipoingia madarakani. Vijana hao wangesomea course kuanzia tourism, uuguzu, airlines...
Habari zenu wadau.
Moja kwa moja twende kwenye mada husika. Nakusihii na kukushauri ewe uliepo huko mikoani usitamani wala kufikiria kuja Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam kwa sasa limekuwa na...
Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kuzitatua changamoto mbali mbali
za wajasiriamali nchini sanjari na wafanyabiashara kuwapatia
ujuzi na mitaji na kuondoa ukiritimba uliokuwapo.
Kauli hiyo...
Naomba wacha Mungu mnisaidie kama nitakuwa nimekosea , maana mimi si mjuzi sana wa MISA ZA WAFU .
Ni muda mrefu sasa familia za wahanga wanaopotea ama kupotezwa nchini Tanzania zinateseka sana...
Askofu Mkuu wa KKKT Mhashamu Dr. Fredrick Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini anasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha Mkuu wa Jimbo la Hai, Mchungaji Aminirabi Swai.
Mchungaji...
Napinga kuzuia watu kupiga picha maiti wakipenda , maana katazo hilo halina tija yoyote kwa jamii , unless otherwise , Marufuku yaweza kuwekwa na familia ikiwa inahitaji jambo hilo liwe la...
Suala la harusi limekuwa na mtazamo tofauti, na siku za karibuni kadi za michango zimekua 'kero' kwa wengi. Watu wengi huwa na mawazo kuwa siku hii ni siku moja tu haijirudii hivyo kujikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.