Atuhitaji passport wala visa kwenda chato fursa ilipo tutaifuata

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu kwema nijikite moja kwa moja kwenye mada.Malalamiko yamekua mengi kwenye mitandao ya kijamii mtu asie jua anaweza kufikiri pengine chato ni burundi au Rwanda pengine kuna watu special au vitambulisho special ili uweze kuishi pale mi sioni kosa la no1 kwan? Atahuko ni aridhi ya Tanzania na mimi ni mtanzania tajisogeza tu hapo kwan? Bei gan!!!!
 
Hivi vipi ile airport yetu ya Katavi inafanya kazi bado? na vipi kuhusu ile ofisi ya Mh. Spika kule Urambo? Ndugai anaitumia au kamuachia Mh. Tulia Ackson?

Nauliza tuu kwa nia njema

Piga simu au nenda sehemu husika upate majibu sahihi.
 
Back
Top Bottom