Mlioko jikoni je Payroll zina Jipya?

Tunakusanya 1.3 trion moja na hizo bilion 3. mishahara bilioni tano tunalipana.Madeni ya ndani & nje bilion 5 inabaki 3 tu ya maendeleo ambayo ujenzi wa mabarabara,ujenzi wa zahanati,ujenzi wa reli ya SGR ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme ko kama unaakiri huwez ulizia ongezeko la mshahara tunachokusanya kidogo tunakitumia kulipana mishahara hatutaendelea kwa namna hii suala la mshahara tulieni tu itaongezwa lkn si sasa.
 
Ulichokiandika unakijua???wakati mwingine kuliko kuropokaropoka ujinga ni bora tu ukae kimya kuficha ujinga wako
 
Tunakusanya 1.3 trion moja na hizo bilion 3. mishahara bilioni tano tunalipana.Madeni ya ndani & nje bilion 5 inabaki 3 tu ya maendeleo ambayo ujenzi wa mabarabara,ujenzi wa zahanati,ujenzi wa reli ya SGR ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme ko kama unaakiri huwez ulizia ongezeko la mshahara tunachokusanya kidogo tunakitumia kulipana mishahara hatutaendelea kwa namna hii suala la mshahara tulieni tu itaongezwa lkn si sasa.
Umetumwa ww si bure
 
Jipya litoke wapi Kiongozi.
Hatuwezi kuacha vitu muhimu kwa nchi kama:
Chato International Airport
Chato Referral Hospital
Chato Stadium
Chato National Park na barabara zake

Bado kuna vitu vingine muhimu kama SGR, Stieglers Gorge nk.
Maeneo mengine hawataki maendeleo?
 
Wenye biashara mbona wanafunga
Ni akili za panzi kudhani kuwa kila mtu anaweza kuwa mfanyabishara au kila mtu anaweza kujiajiri.

Hata anaye jiajiri au mfanyabiashara ikikua lazima ataajiri wengine na awalipe mshahara. Taasisi zote, iwe za umma au binafsi lazima ziwe ziajiri na zilipe mishahara.
 
mkuu hayo ni mawazo yangu yaheshimu pia kama ww mwelevu sana ungetoa maelezo yako tuyaone pale unaposema mm nimeandika vitu nisivovijua hebu andika vyako unavyovijua.
Unaandika vitu usivyovijua....kinachokuja tu kichwani kwako chochote unaandika...yaani wewe mkuu hujui chochote...kwahiyo kwa akili zako jumla ya mishahara ni bilioni tano or sjui tatu ulizoandika wewe??
 
mkuu hayo ni mawazo yangu yaheshimu pia kama ww mwelevu sana ungetoa maelezo yako tuyaone pale unaposema mm nimeandika vitu nisivovijua hebu andika vyako unavyovijua.
Jua kutofautisha kati ya kutoa maoni yako na kutoa data zisizo za kweli...wewe umeandika vitu usivyovijua na upotoshaji...umeandika mwenyew kuwa ati serikali inatumia bilioni tano kulipa mishahara...unaijua bilioni tano wewe...kwa hiyo unavyofikiri mkuu bilioni tano inatosha kulipa mishahara ya wafanyakazi...siku nyingine toa data ambazo unauhakika nazo....any way iam so sorry kama nimekukwaza katika ukosoaji wangu
 
Back
Top Bottom