Catherine Magige aendelea kuchanja mbuga

vyuku

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
503
Reaction score
87
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha mh Catherine Magige ameendelea na ziara yake ya kikazi leo wilayani Monduli. Akiwa kata ya mto wa mbu mbunge alikutana na baraza kuu la UWT wilaya monduli pamoja na wataalam(wakuu wa idara). Mh mbunge alifuatana na katibu wa UWT mkoa wa Arusha Irimina Mushongi pamoja na mjumbe wa baraza kuu la UWT Taifa anawakilisha mkoa wa Arusha ndg Agness Martin. Kama kawaida yake mh mbunge alisikiliza kero na changamoto mbali mbali kutoka kata mbali mbali za wilaya monduli. Mh mbunge aliwaomba wataalam kujibu kero hizo na yeye kuzichukua zingine ili zifanyiwe kazi na mamlaka husika. Mh mbunge pia aliwasihi wanawake kushiriki na kugombea nafasi mbali mbali ktk uchaguzi ujao wa serikali za mitaa mwaka huu. Mh mbunge pia alichangia miradi ya UWT wilaya monduli kwa kutoa mashine ya kusaga na kukoboa yenye thamani ya 3,500,000/- pamoja na viti 100 vyenye thamani Tsh 1,600,000/-
Na kila mjumbe kumpatia sh elfu 20.
Mh Catherine pia aliwapatia wanawake hao vitenge kama sare ya CCM. Kesho ziara hiyo itaendelea wilayani karatu. Hapa kazi tu.
IMG-20190711-WA0031.jpeg
 
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha mh Catherine Magige ameendelea na ziara yake ya kikazi leo wilayani Monduli. Akiwa kata ya mto wa mbu mbunge alikutana na baraza kuu la UWT wilaya monduli pamoja na wataalam(wakuu wa idara). Mh mbunge alifuatana na katibu wa UWT mkoa wa Arusha Irimina Mushongi pamoja na mjumbe wa baraza kuu la UWT Taifa anawakilisha mkoa wa Arusha ndg Agness Martin. Kama kawaida yake mh mbunge alisikiliza kero na changamoto mbali mbali kutoka kata mbali mbali za wilaya monduli. Mh mbunge aliwaomba wataalam kujibu kero hizo na yeye kuzichukua zingine ili zifanyiwe kazi na mamlaka husika. Mh mbunge pia aliwasihi wanawake kushiriki na kugombea nafasi mbali mbali ktk uchaguzi ujao wa serikali za mitaa mwaka huu. Mh mbunge pia alichangia miradi ya UWT wilaya monduli kwa kutoa mashine ya kusaga na kukoboa yenye thamani ya 3,500,000/- pamoja na viti 100 vyenye thamani Tsh 1,600,000/-
Na kila mjumbe kumpatia sh elfu 20.
Mh Catherine pia aliwapatia wanawake hao vitenge kama sare ya CCM. Kesho ziara hiyo itaendelea wilayani karatu. Hapa kazi tu.View attachment 1151103
Wewe Cathy, hii ndo ID yako humu? Nshakujua tayari
 
Ni rushwa tu muda kama huu huwashika sana wapiga kura kwa kuwahonga vitenge na pesa,badala kwenda kwenye mambo yanayowahusu jamii moja kwa moja yeye anawanufaisha wanaompigia kura tu wa uwt.
Kujipendekeza kuwasemea wenzake uongo na kuwachonganisha ni moja ya sifa zake.
 
Hahahahahhaa...nashukuru Mungu sina wivu huo unauosema ww ....!!nimuonee wivu kwa kipi?..uwe mkweli..huyu anachqnja mbuga gani sasa jaman..chefuu
Muda wake wa kutoa rushwa umefika,wakati wowote atamteka yeyote atakaempinga na kuwa kikwazo kwake,mafya Sana huyu mdada
 
Jumamosi niliuguliwa...mgonjwa wangu akawa amelazwa...akawa ameandikiwa sindano za artmeter"sina hakika na spelling...nilizunguka.mji mzima hakuna hizo dawa...nilikuta duka 1 tu zipo chupa 2...shenzy sana hawa..imagine mji ukose hizo dawa jamani..nilikuwa nasonya tu...
 
Back
Top Bottom