Utata waibuka TRA Arusha, Meneja aliyehamishwa agoma kuondoka

buswelu moja

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
226
147
Mwandishi wetu,Arusha

Wakati Mamlaka ya Mapato nchini(TRA) ikifanya mabadiliko ya kiutendaji kwa watumishi wake mbalimbali nchini utata umeibuka mkoani Arusha ambapo aliyekuwa meneja msaidizi wa TRA mkoani Arusha kitengo cha madeni,Irene Hance anadaiwa kugoma kuhamia katika kituo chake kipya cha kazi.

Hatahivyo,meneja wa TRA mkoani Arusha,Faustine Mdesa amezungumza na waadishi wa habari na kusema kwamba msaidizi wake ameshapewa barua ya kuhamia kwenda katika kituo chake kipya cha kazi na endapo amegoma kwenda hilo sio suala lake.

“ huyo sio mfanyakazi wangu ameshachukua barua yake ya kwenda Kahama sasa suala la yeye kutokwenda hilo mimi halinihusu lakini ukweli ni kwamba huyo sio mtumishi wangu kwa sasa”alisema Mdesa

Katika mabadiliko yaliyofanyika hivi karibuni Hance amepelekwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga kuwa meneja msaidizi kitengo cha ukaguzi huku aliyekuwa ofisa wa kodi mkoani Arusha,Nuhu Seleman amehamishiwa mkoani Mbeya kuwa meneja msaidizi kitengo cha madeni.

Taarifa za Hance kugoma kuhamia kwenye kituo chake cha kazi zimeibua hisia kali hususani kwa baadhi ya wafanyabiashara mbalimbali mkoani Arusha huku wengine wakienda mbali zaidi na kudai kwamba huenda analindwa na baadhi ya vigogo kutoka ngazi za juu serikalini.

Hatahivyo,mwandishi alifika katika ofisi za TRA Arusha ghorofa ya kwanza ili kuthibitsha taarifa hizo na kukutana na katibu mukhtasi wake ambaye jina lake halijatambulika ambapo alidai kuwa ametoka majira ya mchana na yuko nje katika majukumu yake ya kazi.

“ Alikuwepo hapa asubuhi lakini kwa sasa ametoka yuko nje kwenye majukumu yake ya kazi labda uniachie namba zako ili akirudi nimpatie akupigie”alisema katibu mukhtasi huyo

Juhudi za kumpata Hance ili kuthibitisha madai hayo zimeshindikana baada ya simu yake ya mkononi kuita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu yake ya mkononi hakuweza kujibu.

Mwisho.
 
Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    49.2 KB · Views: 87
Anaonekana mnoko sana huyo wacha aondoke walitumika kama toilet papers sasa wamechokwa wanatupwa mavi ya kuku
 
Tumeshauri Mamlaka hiyo isambuliwe yote isukwe upya watu hawataki
 
Ndio shida ya viongozi wandamizi wa serikali kutembea na watumishi wa umma unaona sasa. Yani mtu Kama hana kigogo hawez kufanya jeuli hiyo hata kidogo huyo atakuwa anatembea na mtu mkubwa, unajua hii serikali bado wapo ambao wanakula kuku Kwa mrija ambao bado wanasauti usidhani kuwa magufuli kaweza wote no
Huyo anatembea na kigogo, analiwa na mtu mnene ndio anaempa hiyo jeuri
 
Tumeshauri Mamlaka hiyo isambuliwe yote isukwe upya watu hawataki
 
Mwandishi wetu,Arusha

Wakati Mamlaka ya Mapato nchini(TRA) ikifanya mabadiliko ya kiutendaji kwa watumishi wake mbalimbali nchini utata umeibuka mkoani Arusha ambapo aliyekuwa meneja msaidizi wa TRA mkoani Arusha kitengo cha madeni,Irene Hance anadaiwa kugoma kuhamia katika kituo chake kipya cha kazi.

Hatahivyo,meneja wa TRA mkoani Arusha,Faustine Mdesa amezungumza na waadishi wa habari na kusema kwamba msaidizi wake ameshapewa barua ya kuhamia kwenda katika kituo chake kipya cha kazi na endapo amegoma kwenda hilo sio suala lake.

“ huyo sio mfanyakazi wangu ameshachukua barua yake ya kwenda Kahama sasa suala la yeye kutokwenda hilo mimi halinihusu lakini ukweli ni kwamba huyo sio mtumishi wangu kwa sasa”alisema Mdesa

Katika mabadiliko yaliyofanyika hivi karibuni Hance amepelekwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga kuwa meneja msaidizi kitengo cha ukaguzi huku aliyekuwa ofisa wa kodi mkoani Arusha,Nuhu Seleman amehamishiwa mkoani Mbeya kuwa meneja msaidizi kitengo cha madeni.

Taarifa za Hance kugoma kuhamia kwenye kituo chake cha kazi zimeibua hisia kali hususani kwa baadhi ya wafanyabiashara mbalimbali mkoani Arusha huku wengine wakienda mbali zaidi na kudai kwamba huenda analindwa na baadhi ya vigogo kutoka ngazi za juu serikalini.

Hatahivyo,mwandishi alifika katika ofisi za TRA Arusha ghorofa ya kwanza ili kuthibitsha taarifa hizo na kukutana na katibu mukhtasi wake ambaye jina lake halijatambulika ambapo alidai kuwa ametoka majira ya mchana na yuko nje katika majukumu yake ya kazi.

“ Alikuwepo hapa asubuhi lakini kwa sasa ametoka yuko nje kwenye majukumu yake ya kazi labda uniachie namba zako ili akirudi nimpatie akupigie”alisema katibu mukhtasi huyo

Juhudi za kumpata Hance ili kuthibitisha madai hayo zimeshindikana baada ya simu yake ya mkononi kuita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu yake ya mkononi hakuweza kujibu.

Mwisho.
Sura tu kanaonekana ni mchepuko wa mtu..! Ila katakuwa kala rushwa tu.
 
Atoke Arusha aende kahama kwa watumishi waliozoea mjini ni ngumu ni km wanaona adhabu hii
Kutoka mjini kwenda kijijini hakuna pesa na deals za kimjini
 
Hongera mliomhamishia hapa Kahama. Asitegemee rushwa huku. Wasukuma tupo nyuma ya Magufuli asilimia mia
 
Anatoka Arusha kwenye mahoteli makubwa makubwa na sehemu nyingi za kula bata kisha anatupwa hukoo mwisho wa dunia na kalivyokuwa keupe nakuapia atakuwa mweusi kama Mwijage aka propagandisti.

Pole mama ila unaonekana mnoko sana na una dharau sasa haya ndo malipo yake nenda tuuu huko maana heri shari nusu kuliko kamili
 
Back
Top Bottom