Waambie hao matahira hayajielewiKuna kampeni za kipuuzi zinaendelea humu JF kuisifia Iran mara ni taifa lenye nguvu mara linaongoza katika aeropspace research nk Ukweli utabaki kuwa Israel ndiyo baba lao pale Mashariki ya Kati hata Iran wanalijua hilo !
Kuna kampeni za kipuuzi zinaendelea humu JF kuisifia Iran mara ni taifa lenye nguvu mara linaongoza katika aeropspace research nk Ukweli utabaki kuwa Israel ndiyo baba lao pale Mashariki ya Kati hata Iran wanalijua hilo !
Nikikumbuka 6 Days war kati ya Waarabu wote na Israel Nachoka kabisa
Pia nikikumbuka Operation Thunderbolt/ Operation Entebbe Naishiwa Nguvu kabisa.
Hawa wa israeli sio watu wa kawaida