BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Mida hii,mtandao wa jf unaonyesha wanaoperuzi huku hawajajiunga kama elfu nne na kidogo na wanachama hai ni 1500 na ushee hivi walio hewani,
sasa nyie guests mnaodukua jf si mjiunge tu tuwe wengi? Au na wasiojulikana humo humo wanatupiga chabo tu.
Kumbe kunanoga huku eeeeh, mtu buku nne zinakula chabo si mchezo.
Hongera comrade melo kwa kweli.