The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,264
- 20,526
Mzuqa
Kale ka mkuu wa mkoa wa Iringa mwenye sifa za kisoro na za kijingayuko wapi siku hizi?
Mbona hasikiki siku hizi na mbwembwe zake? Jamaa kalikuwa media attention kutafuta sifa za kishaynzy kumfurahisha jiwe.
Yani alikuwa ana stage matukio mbele ya kamera kwa kubebwa mgongoni kwenye mafuriko.
Alikuwa anaombea matukio na majanga ya asili yatokee auze sura kwenye media Jiwe ampende zaidi.
Cha kustaajabisha kawa kimya siku hizi sijui kwanini? Ama alisgashtuka Jiwe anampotezea nini.
Yani hii nchi ya ajabu sana. Grown up people speak and act childishly with their high education and learning.
Maybe behind close doors the likes of "jalalani prof" even lick Jiwes feet.