SMS FROM DSTV

SMS FROM DSTV

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Ndugu Mteja wa DStv, kuanzia 01/08/2019 SS4 haitakuwepo kwenye kifurushi chako. Endelea kufurahia maudhui mengi yaliyokuwepo SS4 kupitia SS9/SS10.
Wameshaanza tena kuwa kama hizi matakataka ya kibongo ,na mimi nilikuwa nawaamini sana Kwa huduma zao nzuri,
 
biashara za wenzio unaita matakataka, sio Poa.
 
Ndugu Mteja wa DStv, kuanzia 01/08/2019 SS4 haitakuwepo kwenye kifurushi chako. Endelea kufurahia maudhui mengi yaliyokuwepo SS4 kupitia SS9/SS10.
Wameshaanza tena kuwa kama hizi matakataka ya kibongo ,na mimi nilikuwa nawaamini sana Kwa huduma zao nzuri,
Hii inatokana na SS4 kuanza kuonyesha mechi za EPL na Seria A msimu ujao wa ligi hivyo kuihamishia kwenye kifurushi cha Compact.
 
Back
Top Bottom